Gharama ya ujenzi

Gharama ya ujenzi

Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa but sitak ule mfumo wa kumlipa kwa tofauli
Unataka kujenga wap au upo mkoa gani Mimi nipo dar fundi najenga kwa mkono wangu hapa nipo mbweni 0684109595 nicheki
 
Usimlipe kwa tofar mlipe kwa day yan unafanya hiv tafuta fund mtae ivana ndo awe kama msimamiz lakin na yy awe fund af ww ndo uwe kama umeshika hiyo tenda yan usjulikane kam ww ndi bos.

Af uyo fund unamlipa tofaut na mafund wengine ko unakuwa na mafund weng ata 6 na ko we unawalipa kwa siku na shart wakimbie ndo walipwe mf wakianza kupandsha tofar sku yakwanza wakikishe wafike kwa madirisha sku yapili wanaenda ad saiz ya lenta ..... Ko kwa siku chache unamaliza nyumba kwa bei chee

Kuliko kukabidh contractor sjui ya mil.3 bad ayaend lakin ukifanya hv unakimbiza nyumba tena saf
Duh! Very complicated
 
Unamdanganya mwenzio....kwa style hii hatofika popote na pesa itaishia njiani.....
 
Ukitaka Kazi nzuri usimpe fundi hela ndogo ,cheap is expensive ..
 
Back
Top Bottom