Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Shida siyo kutafuta hela. Hapa tunaongelea gharama za bando.Vodaaaaaaa
Juzi kati niliunga MB za elfu 10
Hee naletewa sms ndugu mteja mb zako za 2000 zinakaribia kuisha.
Bundle la efu30 week 2 limeisha, na matumizi ni kawaida sana.
Bundle la mwezi unatumia week 2
Bundle la week siku 2
Hahahaa
Dah!
#Tutafute Hela Tuache Kulalamika
Maana 4G tunateleza kwa raha lakini
Ukiwa na hela hata wali maharage unaweza kununua kwa laki 1?