Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Shida siyo kutafuta hela. Hapa tunaongelea gharama za bando.Vodaaaaaaa
Juzi kati niliunga MB za elfu 10
Hee naletewa sms ndugu mteja mb zako za 2000 zinakaribia kuisha.
Bundle la efu30 week 2 limeisha, na matumizi ni kawaida sana.
Bundle la mwezi unatumia week 2
Bundle la week siku 2
Hahahaa
Dah!
#Tutafute Hela Tuache Kulalamika
Maana 4G tunateleza kwa raha lakini
Watu wanatumia TTCL bure. Nape anapiga simu bure, anatuma meseji bure na kutumia internet bure. Lini atakufikiria?Aliulizwa kajibu kwa nyodo kama hamna bando tafuteni shughuli nyingine za kufanya.
Hata sisi tunajua yote hayo. Ila bando bei Iko juu sana na linaisha haraka kama linayeyuka vile.Simu kama gari yapo yenye kutumia nishauri Kubwa yapo yenye kutumia ndogo.
swali unatumia simu ya aina gani ..
user manuals unazifahamu?
Settings za kawaida kama background data usage unazifahamu?
Auto update?
hizo notification, adds Zinaingia tuu bure.. bila nishati ambayo ni mbs plus charge ..
simu ni 4g au 3g .. processor ????
Nipo tayari kukosolewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi imekuwa shamba la bibi, bi mdashi hajali wala nini,, yani yule maza ile kichwa yake imejaza kamasi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vodaaaaaaa
Juzi kati niliunga MB za elfu 10
Hee naletewa sms ndugu mteja mb zako za 2000 zinakaribia kuisha.
Bundle la efu30 week 2 limeisha, na matumizi ni kawaida sana.
Bundle la mwezi unatumia week 2
Bundle la week siku 2
Hahahaa
Dah!
#Tutafute Hela Tuache Kulalamika
Maana 4G tunateleza kwa raha lakini
Mnileteee VPN, Kuna wakat nlikua natumia ghaflaa ikawa haifanyi kazi sielewi shida nn. Lol.Shida watu wakizama chimbo na kuleta VPN mnaleta umbea kwa wao wanyonyaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahVoda kudadekiiiii
Nimeshtuka sana Gb 1.4 kuisha ndani ya masaa ma3 na ninatumia tu whatsapp na JF [emoji119]
Hapana aisee, this is too much.
Imebidi nipunguze speed nione itakuwaje.
View attachment 2460966
Mtandao wao upo slow sana...Hamia TTCL haya mambo ya bando kuisha haraka hayapo kule