Yeah dawa ni kuanzisha Timbwili tuu, hawa jamaa siku watu waingie pale mjengoni Dom hadi ndani anapokaa Speaker, wang'oe viti na zile Mic ndio akili itawakaa sawa.Mkiambiwa suluhu ni kukiwasha tu je mtajitokeza kupambania haki zenu za msingi! Sema serikali imeshazoea inajua watanzania ni kama misukule iliokatwa ulimi wapo wapo tu 😂
Tatizo tumeruhusu walioshiba ndio watufanyie maamuzi! 😅Yeah dawa ni kuanzisha Timbwili tuu, hawa jamaa siku watu waingie pale mjengoni Dom hadi ndani anapokaa Speaker, wang'oe viti na zile Mic ndio akili itawakaa sawa.
Sure..jamaa wao wameshiba hawatujui wenye njaaa. Lakini shida nyingine kubwa kwa hapa Bongo, watu ni waoga sanaaa. Mkijipanga hata 500 tu hakuna sehemu mtashindwa kuingia kwa mkupuo. Bongo bila kuanzisha mtiti hawa jamaa watakuja kutuingiza vidole puani.Tatizo tumeruhusu walioshiba ndio watufanyie maamuzi! 😅
Sometime namkumbuka sana mchonga na siasa zake za TV moja Tabata nzima na ole wake mtu ajenge nyumba ya tofali. Tofali ni nyumba za serikali tu! Ole wake afisa hata mmoja atumie madaraka kupiga hela 😂😂😂!Hao wasimamizi wangekuwa na njaa sote tungeongea lugha moja ila wao wanajiamulia watakavyo sababu hawako kwenye kikatio wao wameshikilia kwenye mpini!
Tunabambikwa matozo wao shule,hospitali,usafiri ni kwa gharama ya serikali na bado mamishahara makubwa wanalipana na kulindana kwenye wizi wa hela ya serikali! Mtu kama huyu hawezi kukuthamini.
HakikaWaziri aliekuepo kwa maoni Yangu alikua poa kabisa na Accessible..Wameleta Huyu Mama anaitwa Kijaji hata sidhani kama Anashugulika na haya masuala...Kuna balaa kubwa kwenye bando saiv.bei iko juu sana..Sio tu vijana kwa ufupi maisha karibu yote yanaguswa na Internet siku hizi...lakini kwa Tz imekua anasa...Unapigwa Makonzi ya kutuma hela..Mabando..bei ya mafuta duh
Hii nchi imeanza kuwa ngumu. Tangu juzi bando silielewi. Licha ya kupandisha gharama lkn bando linapepea km moshi.Hakika
Halafu nilivyoona wamemfukuza Ndugulile kwenye wizara, nikajua wamemtoa mbuzi wa kafara ili watibu majeraha ya raia kumbe ni kinyume chake!Kwa hiyo wakipandisha bando ndo watu watashindwa kushusha spana, wamebugi aisee......
Hahaaha utadhani na wenyewe zinasafirishwa kama diesel.Hizi bando zinavyopanda bei unaweza hisi hata gharama za uzalishaji wa hizo bando huwa zinaongezeka kila mwaka kumbe ni urasimu tu.
Hahaaa hatari sana.Hahaaha utadhani na wenyewe zinasafirishwa kama diesel.