The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Habari zenu, nilikuwa naomba kufahamishwa ni kiasi gani cha fedha kinahitajika hili mtu aweze kuipata fomu ya kugombea ubunge?
Tshs. 500,000 NEC......
Kwenye vyama inategemea na chama.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu, nilikuwa naomba kufahamishwa ni kiasi gani cha fedha kinahitajika hili mtu aweze kuipata fomu ya kugombea ubunge?
Mkuu ndo sababu iliyonofanya nije kuuliza hili nipate uelewa.Hata kama gharama za fomu kwente chama chako na tume ya uchaguzi hujui basi we si mgombea. Je gharama za kampeni utazitafutaje uzijue?
We Tulia endelea ka kazi zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama za kuchukua form kwa mgombea ubunge ni sh 100,000/na kwa nafasi ya udiwani ni sh 50,000,na kwa nafasi ya uraisi ni sh 1,000,000/,,,kwa upande wa chama form ya ubunge CCM ni sh laki tano(500,000),,,chadema ni sh 250,000/=,,,,NEC wanaendelea kusema ili uweze kufanya kampeni vizuri unahitajika uwe na angalao milioni kumii,,Kama unajiandaa kugombea financially inatakiwa uwe vizuri,kwa chama Kama ccm hupati shida Sana Kuna support ya chama na Wana magari kwa Kila wilaya usafiri hautasumbua,kwa vyama vingine Kuna shida itakulazimu ujiandae vizuri bila hivyo tutakuona unafanya kampeni maeneo ya mjini tu hutokuwa na uwezo wakufika vijiji vya ndani.Sikukuelewa mkuu.
Bila tume hakuna kupiga kura !!!!Tume haipigi kura bali wananchi ndio wanaopiga kura, mkuu.
BUSEGA/simiyu.Jimbo gani...?
Ni kweli. Hata kama ungekuwa unautaka ningesema pasi na shaka kuwa hutaambuia kitu kwani kama mpaka sasa hujui gharama za fomu basi inaonyesha hujajiandaa kushinda.Mimi nimeomba tu kufahamishwa gharama za fomu sijasema kuwa nautaka ubunge.
Asante sana.Gharama za kuchukua form kwa mgombea ubunge ni sh 100,000/na kwa nafasi ya udiwani ni sh 50,000,na kwa nafasi ya uraisi ni sh 1,000,000/,,,kwa upande wa chama form ya ubunge CCM ni sh laki tano(500,000),,,chadema ni sh 250,000/=,,,,NEC wanaendelea kusema ili uweze kufanya kampeni vizuri unahitajika uwe na angalao milioni kumii,,Kama unajiandaa kugombea financially inatakiwa uwe vizuri,kwa chama Kama ccm hupati shida Sana Kuna support ya chama na Wana magari kwa Kila wilaya usafiri hautasumbua,kwa vyama vingine Kuna shida itakulazimu ujiandae vizuri bila hivyo tutakuona unafanya kampeni maeneo ya mjini tu hutokuwa na uwezo wakufika vijiji vya ndani.