Magu kabana sana. Siwezi hata kufikiria..[emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] . Wee mbona hujasema kama unataka kununua?
Sent using Jamii Forums mobile app
HopelessYu re more than hopeless... Jf is the place where anybody could be anything. But in really life everyone knows themselves. Hata ningekuwa sina pesa nsingenunua Vitz. Baiskel sijawah milik ni kwel. But umewaza kipumbavu sana. Kuwa kama bill gates hajawah milik baiskel basi atakuwa ni maskini. That kinda reasoning it is only found here in jf. Otherwise nashukuru umepata nafasi ya kuni soma threads zangu na posts zangu mbalimbal. Mimi nipo busy i wont get a chance to do that kwako. Si jambo la ajabu mtu kwenda kuangalia mwanaume wake anafanya nini but na mwanaume hawez naye enda saluni kumfuatilia mpenz wake.
Gudume anabak kuwa gudume na kila kitu chake huku JF. Wewe endelea kuchunguza watu coz muda unao. Sisi wanaume we hit and run no time to waste.
Mkuu unasemaje?? Hammer na ist ipi imeptwa n wakatHummer ni magari fulani yamepitwa na wakati. Ukimuona mtu anaendesha Hummer mjini kwa sasa ujue huyo limbukeni.
Nahisi ile ni Nissan Patrol.Hammer 2-3 Nigari la kivita msiojua Hammer ya kivita ni hile mkiona Rais wa Tanzania anaapishwa huwa anapanda limepambwa kapet nyekundu ndo hammer
Sent using Jamii Forums mobile app
Hummer yenye Cc nyingi huwa zinakua ngapiHio ni hummer ngapi mkuu?
Maana hummer 3 zina cylinder 5,cc 3500.
Consumption iko kawaida na watu wanapigia misele kama gari ya kila siku.
Labda kama gari ya huyo jamaa ni hummer models za nyuma.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
magari umeyajulia wapi...?? [emoji1] [emoji1]Gari Engine.
Kama Ni 70m Hamna engine hapo.
What do you do for a living mister?Nimeisha lipia Hummer H2 ya mwaka 2006 ipo njiani inakuja So mwenye kujifanya anzijua sana Hummer afunge domo lake. au aonyeshe gari alotembelea now. Mtu huna hata Toyota Vitz unaanza kubishana hapa kuhusu Hummer Shut up. Mi naendeha GMC cc500 Nina X5 cc400 Now navuta H2 cc600. Funga domo lako pls.
Sent using Jamii Forums mobile app
Movies na gamesmagari umeyajulia wapi...?? [emoji1] [emoji1]
Gudume nimeshaagiza ule mzigo,hawa mafala wanaotumia vitz watapata tabu sana sisi tunatumia magari ya kiume ya bei ghali,vitz tunawaachia wake zetu na michepuko yetu mamaeeeVitz ni vigar bya watoto wa primary kwende shule au wadada wa kazi wanapoenda sokoni. Lakini huwez mwanaume ukawa unaendesha vitz. Ni aibu sana. Mimi natumia gari cc kuanzia angalau 3000 kwenda juu
Mrejesho:: tayari nimeagiza hummer mida hii navyoandika ipo inaelea baharini kwenye meli kuja Tanzania, Gudume ntakutafuta mwanangu tuwanyoshe hawa mafala wanaoendesha vitz
Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi mbaya sana!!Mrejesho:: tayari nimeagiza hummer mida hii navyoandika ipo inaelea baharini kwenye meli kuja Tanzania, Gudume ntakutafuta mwanangu tuwanyoshe hawa mafala wanaoendesha vitz
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo tatizo la Jf hili,unamquote mtu ambaye hujui ana umri gani,anaitwa nani au ana nafasi gani,Bangi mbaya sana!!