Gharama za gari aina ya Hummer

Gharama za gari aina ya Hummer

Haya alete nae picha ya gari yake hapa Sio unaanza kubisha gari za kiume eti ni za kizamani Na akiendelea kubisha namletea Bill of loading ya Hammer H2 ambayo inaelea baharini muda huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hammer 2-3 Nigari la kivita msiojua Hammer ya kivita ni hile mkiona Rais wa Tanzania anaapishwa huwa anapanda limepambwa kapet nyekundu ndo hammer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yu re more than hopeless... Jf is the place where anybody could be anything. But in really life everyone knows themselves. Hata ningekuwa sina pesa nsingenunua Vitz. Baiskel sijawah milik ni kwel. But umewaza kipumbavu sana. Kuwa kama bill gates hajawah milik baiskel basi atakuwa ni maskini. That kinda reasoning it is only found here in jf. Otherwise nashukuru umepata nafasi ya kuni soma threads zangu na posts zangu mbalimbal. Mimi nipo busy i wont get a chance to do that kwako. Si jambo la ajabu mtu kwenda kuangalia mwanaume wake anafanya nini but na mwanaume hawez naye enda saluni kumfuatilia mpenz wake.


Gudume anabak kuwa gudume na kila kitu chake huku JF. Wewe endelea kuchunguza watu coz muda unao. Sisi wanaume we hit and run no time to waste.
Hopeless
 
Iv Hummer H3 hua n bullet proof?? Iko na nn cha zaid ukilinganisha na magari mengine kwenye suala la usalama-Safety.
 
One thing that I admire about Hummer is it's high offload capabilty when comes to rough and tough terrains like some of countryside places , it is surely pretty ideal and useful when comes to that matter
 
Hio ni hummer ngapi mkuu?

Maana hummer 3 zina cylinder 5,cc 3500.

Consumption iko kawaida na watu wanapigia misele kama gari ya kila siku.

Labda kama gari ya huyo jamaa ni hummer models za nyuma.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Hummer yenye Cc nyingi huwa zinakua ngapi
 
Nimeisha lipia Hummer H2 ya mwaka 2006 ipo njiani inakuja So mwenye kujifanya anzijua sana Hummer afunge domo lake. au aonyeshe gari alotembelea now. Mtu huna hata Toyota Vitz unaanza kubishana hapa kuhusu Hummer Shut up. Mi naendeha GMC cc500 Nina X5 cc400 Now navuta H2 cc600. Funga domo lako pls.

Sent using Jamii Forums mobile app
What do you do for a living mister?
 
Vitz ni vigar bya watoto wa primary kwende shule au wadada wa kazi wanapoenda sokoni. Lakini huwez mwanaume ukawa unaendesha vitz. Ni aibu sana. Mimi natumia gari cc kuanzia angalau 3000 kwenda juu
Gudume nimeshaagiza ule mzigo,hawa mafala wanaotumia vitz watapata tabu sana sisi tunatumia magari ya kiume ya bei ghali,vitz tunawaachia wake zetu na michepuko yetu mamaeee
 
Unamiliki gari ambalo linaweza kuoshwa kwenye sinki moja na vyombo.(Mpoki Voice)
 
Back
Top Bottom