Logic ni kwamba wewe huna elimu ya kujua ku spell "Hummer" utaelewaje ninachoandika?Hiyo argument yako Ni poor. Unahamisha mada kwa kushindwa logic.
A fool at his bestLogic ni kwamba wewe huna elimu ya kujua ku spell "Hummer" utaelewaje ninachoandika?
At least a fool can claim to be a Shakespearean fool, a court jester, a Socratic seeker, a quantum physics researcher. All these must entertain being fools if they are to get anywhere in their paths.A fool at his best
I'm done with youAt least a fool can claim to be a Shakespearean fool, a court jester, a Socratic seeker, a quantum physics researcher. All these must entertain being fools if they are to get anywhere in their paths.
You embody the epitome of a spineless earthworm who lacks even the most basic of reflex actions, let alone the thinking capacity of a developed brain.
You should call yourself Guluguja, Nyenyere is rather flattering.
You are not.That is why you replied.I'm done with you
We Nyenyere kwanza hata hujui tofauti ya "hammer" na "Hummer".
Utaelewa vipi ninachoandika hapa?
Jifunze spelling kwanza.
Cha kushangaza mkuu ni kuwa; Hapo hakuna hata mmoja aliyesema kuwa anayo Hummer ila wote wameiponda. Mkuu; ka una kauwezo nenda kainunue uishike kwanza mkononi mwenyewe ndo utajua ni nzuri au mbaya. Baasi.
Usiogope ngurumo ya radi na matone bado. Upepo waweza vukisha mvua. Wewe mwenye hiyo nguvu ya fedha ndo uitest hiyo Hummer sio makapuku. Ingelikuwa kila mwanamke anatakiwa apendwe na mwengine tungeliishia kuoa used. The pride of a woman is her own man. Not her in laws.
Mkuu una busara sana,unatishiwa kwa kimombo.hahaaa kuna watu wakipatwa na jazba lugha inabadirikaI'm done with you
Kweli hata mimi namshangaa Hummer ulimbukeni!!?? Anajua H2 huyomkuu mbona una leta povu la kuonesha kua una bifu na maendeleo ya watu-limbukeni atembee na hammer ,nyundo c li gari la kimchezo mchozo unavo potosha ,au ndo sisi kila jambo ubishi"""
Mkuu umewahi kuendesha H2T?Povu langu ukiliona utapofuka macho ushindwe hata kuandika hapa.
Hujaona hata ushuzi wa povu ushaanza kulialia?
Wewe ukiwa nawe limbukeni pengine huwezi hata kujua limbukeni ni nani na anakuwaje.
Hummer na Saturn ni brands ambazo GM ilishindwa kuziendeleza kwa kukosa market,Hummer nimagari fulani ya ubishoo wa kijinga,hayana fuelefficiency,hayana practical use, hayana aesthetics za gari, ni magari ya kuwakamata watu wanaopenda kununua vitu kwa mkumbo wa kutafuta u Schwarzenegger.
Wrewe uko wapi kwanza na unafuatilia magari kivipi?
Hata.mimi namshangaa mtu anesema Hummer za kizamani Sinauhakika kama wanafahamu uzuri wa H2TWatu wanaendesha Volkswagen za kizamani itakuwa hammer? Hebu tuache sifa za kijinga, wacha watu wanunue. Wengine wanatafuta Suzuki escudo, wengine maruti. Halafu mswahili mmoja anaponda hammer Eti imepitwa na wakati.
Hii ni habari ya mji gani???dar??View attachment 580226hii ndiyo habari ya mjini sasa..hummer tupa kule..