Gharama za gari aina ya Hummer

Hi gari ni Kati ya magari mabovu kabisa wamshukuru Arnold Schwarznegger kuipiga promo kabla ya hapo hakuna Kiumbe alikuwa anajua hili gari.
 
Poaaaa al-- wattan wewe una akili saaaaanaaà mshkaji wangu hahaaa a sasa kwa akili yako unadhani Mimi sijui KUHUSU carbon emission????? Unavyojidai utafikiri wewe ndiye uliyegundua KUHUSU carbon emission hahaaa by the way kila mtu afanye yakeee
 
Poaaaa al-- wattan wewe una akili saaaaanaaà mshkaji wangu hahaaa a sasa kwa akili yako unadhani Mimi sijui KUHUSU carbon emission????? Unavyojidai utafikiri wewe ndiye uliyegundua KUHUSU carbon emission hahaaa by the way kila mtu afanye yakeee
Sasa kama kila mtu afanye yake mbona wewe unakataa mimi nikisema Hummer ni gari fulani ambazo leo wanaendesha wanyela ambao hawajui mtindo ya 1990s iliyopitwa na wakati leo?

Ukipenda bwanga la miaka ya 1970s leo, unaruhusiwa, kwa sababu ndicho ulichopenda.

Lakini tukisema umevaa mtindo wa 1970s kama mshamba usiyejua kwenda na wakati tutakuwa tumekosea?
 
Yap, ni mshamba totally. Hio gari sikuwahi ipenda na sitakaa niipende. Hao GM walipoteza tu hela zao
Hawakupoteza hela GM wanaendelea na production za hammer kwa ajili ya us army na muanzilishi wa hammer ni Anord Schwartznigger alitoa oder akatengenezewa na watu wakaanza kuyapenda GM wakaanza kutengeneza kwa ajili ya civilians ila ukweli Hammer haina urembo wowote ni gari ya kudrow attension basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuniambia hio hammer infanya vyema sokoni kuzidi Escalade ama Chevrolet?
 
Habari za uchafuzi wa mazingira ni mbele huko si huku tunatwanga ma v8,v10 hata v12 ikikaa sawa ni mbele kwa mbele.



In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Nimeshindwa kabisa kukaa kimya maana hizi gari za HUMMER uwa naziona kwa nnje tu ila ndani yake sijui pakoje, alafu linaonekana lilitengenezwa mahususi kwa ajili ya kupita kwenye shida shida kama makorongo, mito, na milima mikali mikali, ofcoz lina sura mbaya zaidi ya trekta siwezi ata lisifia kwa muonekano wake kwa kweli. Mara nyingi uwa namuona baba Pastor Gwajma akipita hapa akipita pale ila uwa sielewi raha yake labda sababu ni manual na limekaa juu juu ka mende anayekimbizwa, acha tu niendeshe vitz yangu kwa kweli. Samahani kwa mapedeshee wenye HUMMER kama mmekereka
 
Na Mimi sipendi vitzzz gari gani kama kichuguuu,unakaaa kwa kujibana bana hata hewa haitoshi,vitz ni toy tu za watoto wa kike,gari gani INA engine Cc 1500 sasa hiyo gari au pikipiki??? Kigari gani hata kupanda mlima hakiwezi,Samahani kama nimekuudhi
 
Ni ujinga kuponda hummer. Sababu maybe flan usiyempenda anayo. Mtoa mada kauliza bei.aambiwe bei then achague anachotaka. Gari ni mapenzi ya roho yako. Ushamba ni pale unapolazimisha usichopenda wewe na mwenzio asipende. Gari kutumia mafuta ndo kinywaj chake.ulitaka itumie mafuta kidogo halaf itumie maji au supu? Kuna binadam wanakula ugal wa unga kila tatu na wengine wanakula robo kilo. Wanatofautiana uwezo. Nunua kitu roho inapenda. Siso wengine tunapenda magari ya kibabe kama hummer n.k
 
Vitz ni vigar bya watoto wa primary kwende shule au wadada wa kazi wanapoenda sokoni. Lakini huwez mwanaume ukawa unaendesha vitz. Ni aibu sana. Mimi natumia gari cc kuanzia angalau 3000 kwenda juu

Na Mimi sipendi vitzzz gari gani kama kichuguuu,unakaaa kwa kujibana bana hata hewa haitoshi,vitz ni toy tu za watoto wa kike,gari gani INA engine Cc 1500 sasa hiyo gari au pikipiki??? Kigari gani hata kupanda mlima hakiwezi,Samahani kama nimekuudhi
 
Nakushauri usitafute ugonjwa wa moyo! Kule posta lipo moja jamaa kashusha bei mpaka 45M lakini linakimbiwa....
Posta masaki kwenda ma kurudi liter 20 linamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kituuu,kuna mtu hapo ananilazimisha nitumie vitz eti kwasababu hummer inatumia mafuta mengii,kwani mafuta ananisaidia kununua???
 
Ukiona mtu anaponda hummer jua kazoea magar ya japan yaliyorembwa rembwa.Hummer gar ya kiume.na ndo gari nzuri zakimarekani kwa wanaume wa shoka.GM wana magari bana,angalia vitu kama GMC,chevololet,escaled,cadillac.Kuna hii kitu GMC terrain ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…