Gharama za gari aina ya Hummer

Gharama za gari aina ya Hummer

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,638
1598587031139.png

Wakuu habari,

kuna jamaa anafanya biashara ya kuagiza magari, ananiambia hummer h3 inauzwa kwa milioni 70 yaani hapo gharama zote mpaka ushuru na kila KITU,Hivi hizi ni habari sahihi kweli?

Haya magari si yanauzwa milioni 300?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tofautisha bei ya kununua used na mpya ...ni sawa mtu akwambie anakuletea prado 4th generation kwa 80m uanze kubisha na kusema hizi gari kawaida ni 135M had bandarini bila ushuru...
Mkuu kwani kuna gari mpya??? Kila gari inayopita bandarini pale ni used isipokuwa zinatofautiana TU viwango vya kutumika
 
Hii Gari kwa hapa Bongo ndio Brand ya Uhakika!!.

Jina lake tu, Ndoa kadhaa zitakua zimeshavunjika.!!.

Utakua kama pimp mtaani.
We nunua tu.
Usijali kama ni used ama old model.

We Nunua nikupeleke ile baa yenye mademu wakali. Ili Tukasumbue..!!


Sent using Jamii Forums mobile app
We unawaza mademu tuu
 
Its very hard on fuel, lina maguvu mengi ambayo huyahitaji on daily mobility pia baya halina mvuto...lipo kama kikopo cha prestige siagi

Mkuu umeongea ukweli mkavu labisa, wabongo huwa hatuzingatii matumizi na nature ya tunapofanyia matumizi. Hilo Hummer lingefaa huko vijijini kwenye barabara mbay znazoitaji gari tafu...
 
Hummer, gari zilizokuwa over rated, wasabii wa USA wakizipigia promo kwenye nyimbo zao zipate kuonekana ni icon. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu, the shittiest SUV of all. Gari lenyewe lipo insecured, kila sehemu limeandikwa Hummer, front, side mirrors, side steps, nyuma, usukani, viti, kila kona Hummer. The look is terrible, the engine ni matatizo tu kwa mafuta, fuel consumption haiendani na matumuzi, nit efficient at all and its no longer in production kama sikosei, hio ni GM failure. Interior nothing is luxury as the price tag will make you believe. Kama unazo izo 80 million katafute mnyama talk if the world, RANGE ROVER sports tu, nakwambia hii ndio SUV kiboko yao (ukitoa Vogue)
 
Back
Top Bottom