Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mkuu ishi ndoto zako,Kivipi mkuu,nieleze kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ishi ndoto zako,Kivipi mkuu,nieleze kidogo
cz hauna pesaHio gari au matatizo tu, halina uzuri wwt zaidi ya kukuongezea gharama ya maisha
Mkuu usimvunje moyo.Its very hard on fuel, lina maguvu mengi ambayo huyahitaji on daily mobility pia baya halina mvuto...lipo kama kikopo cha prestige siagi
Oh i have let him go for is heart, sidhani kama ushauri unaweza kuzidi dhamira ya mtuMkuu usimvunje moyo.
Kununua gari ni sawa na kuchagua mpenzi, wengine wanapenda chura, wengine flat, wengine guu flani, wengine rangi ya chungwa.
Acha atimize malengo yako bila kujali linaonekaje na ulaji mafuta ukoje.
Duniani hatulingani, wengine pesa sio tatizo bali wazitumie je
Eeh sina kaka unazo wewe
Hummer ni magari fulani yamepitwa na wakati. Ukimuona mtu anaendesha Hummer mjini kwa sasa ujue huyo limbukeni.
mkuu mbona una leta povu la kuonesha kua una bifu na maendeleo ya watu-limbukeni atembee na hammer ,nyundo c li gari la kimchezo mchozo unavo potosha ,au ndo sisi kila jambo ubishi"""
Madanga kivipi,sijakuelewaHuu uzi una madanga[emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji102] [emoji102]
Sent using Jamii Forums mobile app
bitch@workHuu uzi una madanga[emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji102] [emoji102]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa sio kila mtu anaesema madanga ni bitch, Madanga ni neno tu kama zamani ilivokuwa buzi, hata wewe unaweza sema madanga.bitch@work
[emoji1] [emoji1]Huu uzi una madanga[emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji102] [emoji102]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana naona kila tu full tank full tank[emoji1] [emoji1]
My own brand!!
Watu wanaendesha Volkswagen za kizamani itakuwa hammer? Hebu tuache sifa za kijinga, wacha watu wanunue. Wengine wanatafuta Suzuki escudo, wengine maruti. Halafu mswahili mmoja anaponda hammer Eti imepitwa na wakati.Hummer ni magari fulani yamepitwa na wakati. Ukimuona mtu anaendesha Hummer mjini kwa sasa ujue huyo limbukeni.
We Nyenyere kwanza hata hujui tofauti ya "hammer" na "Hummer".Watu wanaendesha Volkswagen za kizamani itakuwa hammer? Hebu tuache sifa za kijinga, wacha watu wanunue. Wengine wanatafuta Suzuki escudo, wengine maruti. Halafu mswahili mmoja anaponda hammer Eti imepitwa na wakati.
Hiyo argument yako Ni poor. Unahamisha mada kwa kushindwa logic.We Nyenyere kwanza hata hujui tofauti ya "hammer" na "Hummer".
Utaelewa vipi ninachoandika hapa?
Jifunze spelling kwanza.
Behind every successful Man is a woman.[emoji125] [emoji125]We unawaza mademu tuu