Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha!! Swahiba najua huwa hauniangushi kabisa ila haujamalizia sasa kwenye vacation...Usiogope swahiba we tangaza nia mie ntajitolea ubani, lizzy mkeka, the boss mchele kg10, klorokwini nyama kg3, uporoto matango na nyanya, asprin ataleta maji kwenye madumu...king'asti atamfunda mwali na kumchora hina, bht atamwazima mwali dera, gaijin atatuletea radio na cd zote za taarab.... Ndoa tayari...kaizer atawapeleka nyumbani na kimkweche chake.
Usiogope swahiba we tangaza nia mie ntajitolea ubani, lizzy mkeka, the boss mchele kg10, klorokwini nyama kg3, uporoto matango na nyanya, asprin ataleta maji kwenye madumu...king'asti atamfunda mwali na kumchora hina, bht atamwazima mwali dera, gaijin atatuletea radio na cd zote za taarab.... Ndoa tayari...kaizer atawapeleka nyumbani na kimkweche chake.
Aiseee!!! Mkuu kweli watu hawachelewi kabisa kuanza kukunyooshea kidole ukipita kitaaawatakusema mtaani wanakudavid
Hahaha....afu swahiba huko ukweni kwetu majirani nao hawaachwi lazima uwaletee watoto wa majirani pipi na juice cola, hiyo pia ni sehemu ya mahari..lol.. kuwa Mseja tu swahiba..Swahiba mimi nimeamua kuwa MSEJA banaa....swahiba niende huko ukweni kwenu waje waanze sijui khanga ya dada, blanketi la bibi, shuka la mmoja, mto wa shangazi, sijui nilete sharubu za babu, mbuzi mwekundu sijui wa wajomba mimi nitatoa wapi hayo jamani.....
Lol...vacation tumwachie the boss, jina lake kubwa bana...Hahahahaha!! Swahiba najua huwa hauniangushi kabisa ila haujamalizia sasa kwenye vacation...
Hahaha!! Kweli maana kuna jamaa alienda ukweni akanyimwa mke kisa sehemu ya mahari majirani nao hakuwajumuisha kwanini majirani wasiandamane jamaa akanyimwa mkeHahaha....afu swahiba huko ukweni kwetu majirani nao hawaachwi lazima uwaletee watoto wa majirani pipi na juice cola, hiyo pia ni sehemu ya mahari..lol.. kuwa Mseja tu swahiba..
Hahaha... Nilikuweka utununulie mchele ila ukileta na maturubai tutashukuru...lol.....utafanya Kaizer asikupe tena lift lol
mimi najitolea maturubai lol
Lol...vacation tumwachie the boss, jina lake kubwa bana...
Hahaha!! Kweli maana kuna jamaa alienda ukweni akanyimwa mke kisa sehemu ya mahari majirani nao hakuwajumuisha kwanini majirani wasiandamane jamaa akanyimwa mke
mimi naipenda ya usiku baada ya sala....
watu wameshashiba makwao,we unawapa chai tu biskuti,unachukua mke lol
vacation ni mafia lol...
Mpwa unauliza majibu wakati tayari huu ni mwezi wa nne sasa subiri katoto ka ukweli...
Kumbe ndio maana jamaa huwa mkali kweli...hahahahaha! Swahiba tafadhali zihurumie mbavu zangu lol, huyo jamaa sio Paw kweli?
Hahaha, fanya france tafadhali kwa afya ya maharusi...lol
...umeona ee?
Harusi za vishindo namna hii hata anguko lake lina mshindo
vile vile.
Hata kwa mkuu wa wilaya hakuna makeke, mnaweza kwenda kama
mnaenda ulizia kitu, kisha hao mnapanda daladala kila mtu na njia yake.
Mie mwenyewe nasubiria mkesha wa x'mass. Majirani watashangaa tu asubuhi nna pete mkononi, mambo ya kulisha watu wazima na hela za kujengea kiwanda siyawezi asee!....umeona ee?
Harusi za vishindo namna hii hata anguko lake lina mshindo
vile vile.
Hata kwa mkuu wa wilaya hakuna makeke, mnaweza kwenda kama
mnaenda ulizia kitu, kisha hao mnapanda daladala kila mtu na njia yake.
Kwani kwao tayari posa umemwaga?