Gharama za harusi kwa bwana harusi

Complication zote hizo za nini mengi naona ni kujifaharisha tu Kama mmependana kwa dhati mengi hayana umuhimu kihivyo
 
Hahahahaha!! Swahiba najua huwa hauniangushi kabisa ila haujamalizia sasa kwenye vacation...
 
utafanya Kaizer asikupe tena lift lol

mimi najitolea maturubai lol
 
Kumbe ndo maana siolewi eeeh ???????????????????????????????? Nahamia tu mwenyewe sasa
 
Hahaha....afu swahiba huko ukweni kwetu majirani nao hawaachwi lazima uwaletee watoto wa majirani pipi na juice cola, hiyo pia ni sehemu ya mahari..lol.. kuwa Mseja tu swahiba..
 
Hahaha!! Kweli maana kuna jamaa alienda ukweni akanyimwa mke kisa sehemu ya mahari majirani nao hakuwajumuisha kwanini majirani wasiandamane jamaa akanyimwa mke
 
hahahahaha! Swahiba tafadhali zihurumie mbavu zangu lol, huyo jamaa sio Paw kweli?
Hahaha!! Kweli maana kuna jamaa alienda ukweni akanyimwa mke kisa sehemu ya mahari majirani nao hakuwajumuisha kwanini majirani wasiandamane jamaa akanyimwa mke
 
mimi naipenda ya usiku baada ya sala....
watu wameshashiba makwao,we unawapa chai tu biskuti,unachukua mke lol

...umeona ee?

Harusi za vishindo namna hii hata anguko lake lina mshindo
vile vile.

Hata kwa mkuu wa wilaya hakuna makeke, mnaweza kwenda kama
mnaenda ulizia kitu, kisha hao mnapanda daladala kila mtu na njia yake.
 
hiyo kali aisee lol
 
Mie mwenyewe nasubiria mkesha wa x'mass. Majirani watashangaa tu asubuhi nna pete mkononi, mambo ya kulisha watu wazima na hela za kujengea kiwanda siyawezi asee!.
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…