Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

Na hii wala haihusiani na uhai wa ndoa. Ndoa inaanza baada ya hapo.

Mimi nilifunga ndoa ya kibabe, sherehe ikafanyika nchi mbili Afrika na moja tukaifanya ulaya.

Leo nina mke mwingine mwaka wa nne. Japo nimemuoa kwa ndoa ila kutokana na uzoefu niliyoipata kwenye ndoa ya kwanza, hii ndoa ya pili kwanza ilifungiwa bomani, mashahidi niliwachukua wawili tu, pete nikaokoteza za shilingi elfu kumi tu kwa pete zote mbili.

Japo mke wangu alitaka sherehe za namna hii na japo nina uwezo wa kumfanyia hivyo bila hata mchango, nilikataa katakataa ikabidi achague kuolewa au arusi.

Sherehe ni muhimu na inaleta furaha ila pia inatia huzuni baadae mambo yakienda kombo. Inaongeza umasikini ukiiangalia kwa jicho lingine, ni matumizi ambayo wengi tunajutia japo kimya kimya.

IMG_3283.jpg

this is soup.
 
Mkuu unaweza kushare nini kilitokea vijana tujifunze
 
Walinzi 25.. kila mmoja Tsh laki 1😎😎

ndio maana mnaibiwa sana
 
Back
Top Bottom