Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

Hiyo hela waitoe wapi[emoji23][emoji23] make up ya mkewe tu imechunda.
Wametuvalia ronya ronya. Gari yenyewe matako ya nyani. Wapeleke makantagio kule

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Halafu kulikua na ulazima gani wa kujifagilia vile na kutuma bajeti yao mapema wakati make up tu ya bi harusi tu ni mauza uza😐
 
Naona umeanza na Mungu ukamalizia na mamlaka za kidunia hata swali nililo kuuliza hujajibu bali una ruka ruka kama bisi jikoni.
Sasa unataka nikaseme nini nawaomba mfunge ndoa jamani? nimekujibu hakuna dini yoyote duniani yenye kuruhusu huu ujinga sasa kama wewe waumini wako au kondoo wako tu sheria ya msingi kama hii wanavunja kazi imekushinda. Viva Kenya huna ndoa huna lako kisheria basi watapata akili wenyewe.
 
Kwa hiyo kama walishaishi ni bora wasibariki kabisa, mistakes zimeshafanyika yeah so what's wrong wakiamua watoke kwenye 'zinaa' na waingie kwenye kuhalisha(kurekebisha makosa) ili wawe na baraka kadri ya imani yao inavyoelekeza.
Better late than never.
Nimesema hii sio isolated case hii ndio imekuwa fashion watu wanaishi mpaka uzee ndio unabariki sasa unabariki nini? ingekuwa inatokea mtu mmoja au uchache ningesema ok labda nasema 95% ndio hivyo watoto zao ndio wanakuja kushika mauwa kwenye harusi. Point yangu hii sio sawa kwa dini zote ila kama huna dini poa pia maana hata kufunga ndoa sio muhimu.
 
Hawa ndio wake sasa, Aristote nampa heko baada ya kukamlisha utaratibu wa probation kama ilivyoada.

Hio ndoa lazma idumu maana ameoa mke haswa sio hawa wapuuzi ma slay queens! Mwanamke anaeweza kumvumilia aristote toka kapuku hadi kuwa Chawa President mwenye biashara kubwa mjini ni jambo la kushukuru.
Chawa president😂😂
 
Wtf? Ni divaglam?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Divaglam Huyo[emoji16][emoji16][emoji16]yaani watamani kulia then bi harusi anaonekana kabisa hakua comfortable sijui kwa nini na ile kuvaa migauni meupe kuanzia church to reception kaah!sijaona kama ni nzuri sana!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndio wake sasa, Aristote nampa heko baada ya kukamlisha utaratibu wa probation kama ilivyoada.

Hio ndoa lazma idumu maana ameoa mke haswa sio hawa wapuuzi ma slay queens! Mwanamke anaeweza kumvumilia aristote toka kapuku hadi kuwa Chawa President mwenye biashara kubwa mjini ni jambo la kushukuru.
Kabisaa yaani...Na anaonekana mkimya hapendi spotlight za mmewe!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom