Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Lakini siku ukiumwa hiyo pesa yote itabidi uwe nayo. Kama mdau hapo imeshamtoka 130kpole sana ndugu kwa kuugua, wengi tunatamani sana kuwa na bima ya afya tatizo ni gharama za vifurushi kuwa juu.
tatizo ni kipato .Lakini siku ukiumwa hiyo pesa yote itabidi uwe nayo. Kama mdau hapo imeshamtoka 130k
Kwa hiyo unaona utrasound haihusiki?Yaani unaumwa mgongo halafu umeanfikiwa ufanye ultrasound,arooo mbona majanga
Nilimwelewa maelezo yake. Alisema xray ni kwa ajili ya kuangali mapafu na ultrasound alitumia kwa ajili ya kucheck figo, ini, bandama,na kipofu cha mkojo.Dr kilaza au kajiskia uchangie pato la hospital... x ray na ultrasound at once kwaajili ya tatizo moja?
Then ataku refer kwa physiotherapist
Una umri gani mkuu samahani kwa kuulizaNilimwelewa maelezo yake. Alisema xray ni kwa ajili ya kuangali mapafu na ultrasound alitumia kwa ajili ya kucheck figo, ini, bandama,na kipofu cha mkojo.
Nipo hapa nasubiria kwenda kumwona tena aniambie vipimo vimesoma kitu gani.
kWa nilivyomwelewa shida inaweza kuwa ni figo ambayp inapelekea kusikia maumivu maeneo ya mgogo kwa ndani lakini.Yaani unaumwa mgongo halafu umeanfikiwa ufanye ultrasound,arooo mbona majanga
50Una umri gani mkuu samahani kwa kuuliza
Mwenyewe nabaki kushangaaDr kilaza au kajiskia uchangie pato la hospital... x ray na ultrasound at once kwaajili ya tatizo moja?
Then ataku refer kwa physiotherapist
Hata huko serikalini hali ni hiyohiyo tu mkuu, kutokwa damu puani ===TyphoidUnanikumbusha Kuna mwaka nimeumia mpirani nimepata maumivu makali kifuani. Nimefika zahati binafsi Daktari ananiambia nina UTI. Nikamwambie nipe NHIF yangu niondoke.
Ninachotaka kusema kama huna uelewa wa matibabu hospitali binafsi zinatumia njia chafu ili utoe hela nyingi pasipo na uhitaji wa msingi.
Labda wanataka kumpima UTI kutokea kwenye uti wa mgongoYaani unaumwa mgongo halafu umeanfikiwa ufanye ultrasound,arooo mbona majanga