Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ili mradi pesa iingie kutunisha mfuko wa hospital,Yaani unaumwa mgongo halafu umeanfikiwa ufanye ultrasound,arooo mbona majanga
Wenzetu wana msemo " Something is better then nothing"Wengine unaweza Kua nabima mpaka yaExpire hujaitumia
Sahii mkuu,Wenzetu wana msemo " Something is better then nothing"
Halafu huku kitaa tatizo kama hilo watu huwa wanapiga mitishamba maisha yanaendelea mkuuMpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu.
Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa maelezo kaniandikia kufanya vipimo vya ultrasound, xray, na vipimo v3 vingine kutoka kwenye damu. Ambavyo ni kwa ajili ya kuangalia mafuta. Yaani chollestral. Nimeacha kufanya xray ambayo nitaifanya j3.
Dah gharama za matibabu ni kubwa. Ambao hamjaajiriwa kama mimi, bima ya afya ni muhimu. Tujitahidi kuwa nayo itakusaidia kwa kweli.
Nenda kaangalie (kapime) vitamin D na H_pyroli
kuna madaktari wakikutibia ni km wahuni tu wa mtaani mambo yao.Unanikumbusha Kuna mwaka nimeumia mpirani nimepata maumivu makali kifuani. Nimefika zahati binafsi Daktari ananiambia nina UTI. Nikamwambie nipe NHIF yangu niondoke.
Ninachotaka kusema kama huna uelewa wa matibabu hospitali binafsi zinatumia njia chafu ili utoe hela nyingi pasipo na uhitaji wa msingi.
Dk mjinga tu hajamsikiliza mzee kwa makiniMwenyewe nabaki kushangaa
Meaning anafikiria lobar pneumonia na urolithiasis,may be
Kwenye H. Pylori hapo hata mimi nakaziaNenda kaangalie (kapime) vitamin D na H_pyroli
Kisha lete majibu hapa mzee wangu
🙄Dk mjinga tu hajamsikiliza mzee kwa makini
Imagine mwezi ulio pita mtu mjamzoto kapigwa x ray ya mgongo
Hata vitamin d kaka watu siku hizi hawaoti jua ni ndani gari kiyoyozi ofisini ..... rudi kusoma zile kazi za vitamin d mwilini na uhusiano wake na calcium na madini mengine .... then kasome namna misuli inavyo takiwa kufanya kazi .....Kwenye H. Pylori hapo hata mimi nakazia