Gharama za kuandaa Reseach proposal huwa zikoje?

MANYORI Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2012
Posts
462
Reaction score
343
Ninawaza hapa,kuna mtu anahitaji nimtengenezee (design) Research Proposal kwenye moja ya current issues lakini ameniuliza bei gani? Sina jibu,wajuzi mnisaidie.Minimum na maximum iwe bei gani? Akili zenu ninachanganya na zangu.
 
Inategemea na level ya research yake, he nu certificate, diploma, degree, masters au, hapo kila level na bei yake, funguka tukushauri
 
Mtoze laki. Si kila kitu kwako?, I mean kutype printing? Au? Kama at a type yeye na kuprint, kula fifty, ila kama utafanya wewe kila kitu, mtoze laki ndugu kiroho safi.
 
Ahsante bwana.Mimi ninaandaa tu then yeye ndiye atatype.Ikiingia nakupm.Ushauri ni gharama pia.Kwa hivyo nitaangalia lao vocha Shekhe wangu.
 
kwa proposal laki ndogo sana, sio kazi rahisi hiyo. Atleast laki mbili na nusu
 
Kwanini ndugu?
labda kama unalipua kazi yake ila kwa kazi ya proposal ninavyoijua ni ngumu, mana inabidi uanze kusoma na kutafuta material yanayoendana na topic husika, kwa bei hiyo sifanyi hata niwe na njaa
 
Ndiyo maana nikaomba mchango wa mawazo.Nishauri ili kulifanya jambo hili liwe bora.
 
Ahsante bwana.Mimi ninaandaa tu then yeye ndiye atatype.Ikiingia nakupm.Ushauri ni gharama pia.Kwa hivyo nitaangalia lao vocha Shekhe wangu.
Huwa unaweza kuandaa vipi proposal bila kutype? Yaani unaandika kwanza kwenye makaratasi?

Katka vipi ambavyo sijawahi kuappreciate ni wanafunzi kuandaliwa proposal!! Huyo mwanafunzi ningekuwa namsimamia mimi "ningelala naye mbere"
 
Ma-Supervisor wazembe ndio wanasababisha hii bishara kuwepo.

Watu tuliongozwa na masupervisor mwanzo mwisho hadi tukapresent na kusubmit research kamili.

Anyway, hiki pia ni kiwanda kidogo, pigeni pesa wakuu.
 
Ninawaza hapa,kuna mtu anahitaji nimtengenezee (design) Research Proposal kwenye moja ya current issues lakini ameniuliza bei gani? Sina jibu,wajuzi mnisaidie.Minimum na maximum iwe bei gani? Akili zenu ninachanganya na zangu.
Hiyo ni Sawa na kumfanyia mtihani mwanafunzi mwingine. Kumbuka huyo mwanafunzi anapimwa Kwa hata uandishi wake pia. Kumpa ushauri juu ya research proposal Sawa, lakini kumuandikia proposal ni Sawa na jinai
 
Ma-Supervisor wazembe ndio wanasababisha hii bishara kuwepo.

Watu tuliongozwa na masupervisor mwanzo mwisho hadi tukapresent na kusubmit research kamili.

Anyway, hiki pia ni kiwanda kidogo, pigeni pesa wakuu.
Uko sahihi mkuu! Kazi ya supervisor ni kumfundisha mwanafunzi hatua kwa hatua, ajue kuformulate problem statement, kuandika objectives, research questions hadi methodology.

Sasa huwa sielewi mwanafunzi anaruhusiwa vipi kujifungia huko aliko eti siku ya mwisho aje tu na full proposal!!!!
 
Upumbavu wa kuharibu watoto kwa kuwaandikia academic proposal msiulete humu. Mimi nilijua kuna mtu labada wa NGO au anataka kusaidia sehemu fulani hivyo anahitaji kufanya research ili awe na documented evidence ya kujustify tatizo lake na kupata hela ya kuboreshea nyie mpo mnapanga kumchomoa mzazi mmoja wapo huenda yupo humuhumu hela za kumharibu mtoto wake. Mmendiudhi kweli.
 
Ninawaza hapa,kuna mtu anahitaji nimtengenezee (design) Research Proposal kwenye moja ya current issues lakini ameniuliza bei gani? Sina jibu,wajuzi mnisaidie.Minimum na maximum iwe bei gani? Akili zenu ninachanganya na zangu.
MZee inategemea hio research na kwa matumizi gani?na inahitajika ndani ya muda gani?Na je kwa saa wewe unalipwa kiasi gani.Mfano mimi kwa saa nalipwa 50,000 kuandaa kazi kama hio na ni kazi ya 5 hours.Namkabidhi mtu kazi ndani ya wiki 2 mpaka mwezi kutegemea na nature ya kazi/topic.
 
Upumbavu wa kuharibu watoto kwa kuwaandikia academic proposal msiulete humu. Mimi nilijua kuna mtu labada wa NGO au anataka kusaidia sehemu fulani hivyo anahitaji kufanya research ili awe na documented evidence ya kujustify tatizo lake na kupata hela ya kuboreshea nyie mpo mnapanga kumchomoa mzazi mmoja wapo huenda yupo humuhumu hela za kumharibu mtoto wake. Mmendiudhi kweli.
Mzee hii industry iko hivi;

Mtoa kazi anakuwa ni researcher muaandaaji anakuwa research assistant.Sio plagiarism kama unavofikiri
 
Back
Top Bottom