ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,601
- 2,275
Uko sahihi mkuu! Kazi ya supervisor ni kumfundisha mwanafunzi hatua kwa hatua, ajue kuformulate problem statement, kuandika objectives, research questions hadi methodology.
Sasa huwa sielewi mwanafunzi anaruhusiwa vipi kujifungia huko aliko eti siku ya mwisho aje tu na full proposal!!!![/QUOTE="
Kuna supervisor wangu nili pata nae shida sana tena yeye ilikuwa hamuonani una tuma tuu kwenye email, afu ikirudi una kutana na red za kutosha kule unapo takiwa kufanya marekebisho nilikuwa namuona kama msumbufu lakini ili nisaidia sana.