Gharama za kuandaa Reseach proposal huwa zikoje?

 
Proposal ya kupika au ya kuingia kwenye material seriously?
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana hiki kitu tena kwa kukisikia hapa JF kuwa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM ndio kinara wao, wanafunzi wanaandikiwa proposal.

Niliposoma chuo, huu ujinga haupo.

Tulifundishwa steps zote na mbinu zote kwanza za kuandaa proposal na kutafuta title ambayo haijawahi kufanywa kulingana na somo husika.

Baada ya hapo tunakuwa bega kwa bega na supervisor kwa muongozo, kukukosoa, kukushauri halafu mwanafunzi anaenda kuandika/kutype.

Mimi kuna mwanafunzi mmoja alikuwa anataka nimpe muongozo wa kutengeneza proposal, nilimwambia amuone supervisor wake ndio atamuongoza kila kitu.
 
Mwanachuo anataka aandikiwe proposal!!!
Ndio maana siku ya ku defend wanajamba jamba tu!!!!!
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 

Mimi mwenyewe nakumbuka hapo kwenye title, nilijambaga cheche, yaani kila ninayopeleka kwa supervisor utasikia, "mara TOO BROAD, au UNRESEARCHABLE, mara hivi mara vile." Hadi title kupita ni shughuli.
Siku ya kuingia kwenye jopo ku defend, japo "mtuhumiwa" utaelezea abstract lakini lile jopo, kila mmoja anaropoa swali anapotaka kwenye paper yako, wengine wanauliza hadi references ulizotumia.
Eti leo mtoto wa diploma anataka kuandikiwa proposal.
mxeweeew
Akomae mwenyewe shenzi type
 
Bila shaka wanataka kuenzi utata wa Baba mwenye nyumba a.k.a Mkemia wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumuombee tu Ben salama na salimini huko aliko
Ben mtata sana.Sema jamaa alijua hii ishu ikienda front itamdisikirediti na kuonesha yeye ni magumashi mwanzo mwisho.Imagine,yeye ni Mbunge,waziri,Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge,na alisema alikuwa mwenyekiti wa mawaziri wa ubebaji....na akaweza kufanya Pii eichi diiii....pana utata sana hapo.Ndiyo maana Seif Gaddafi pia walimshona akashoneka ila naona amerudi kundini.
 
Ninawaza hapa,kuna mtu anahitaji nimtengenezee (design) Research Proposal kwenye moja ya current issues lakini ameniuliza bei gani? Sina jibu,wajuzi mnisaidie.Minimum na maximum iwe bei gani? Akili zenu ninachanganya na zangu.
Waone hawa jamaa :
Tunatoa huduma zifuatazo.
1. Preparation of concept note for academic
researches.
2. Preparation of academic research proposals.
3. Preparation of research findings and report
writing.
· Data coding.
· Data entry.
· Data analysis.
· Report writing.
4. Coaching a researcher with knowledge,
techniques and skills to defend and present his/
her research work.
5. Clearing plagiarism.
6. Writing papers for journal publications.
OPTAE COMPANY LIMITED
P.O.BOX 6075
KIWANJA CHA NDEGE/PLOT NO.215
MOROGORO-TANZANIA.
EMAIL: optaecompany@gmail.com
MOBILE: 0766729127/0713935652
 
Ni kwasababu hatufahamiani. Ila katika haya mambo, kuna watu wawili wanaohusika. Mwanafunzi na Msimamizi ambaye ni mwalimu aliyeteuliwa na idara kummuongoza mwanafunzi katika kujifunza elimu hii ya utafiti. Huwa mnakuwa mmeshawafundisha wanafunzi nadharia ya utafiti sasa mnakuja kuwafundisha kwa vitendo ambavyo wanafunzi wanatenda waalimu wanawaelekeza. Mnaanza na jina la utafiti wenyewe. A good title has two variables independent and dependent variable.
Kwahiyo hiyo unayoita industry ndoo uhuni wenyewe. Let students work hard and aquire knowledge and not your fake A's. Mnatutesa sana mtaani na product hizi mnazizoziandikia theisis
 
Hili ni janga la kitaifa. Mfundishe mtu namna ya kuvua samaki usimpe samaki. Vijana wetu vyuoni siku hizi hawajifunzi. ataaandaliwa proposal, atafanyiwa research, atafanyiwa data analysis na kuandikiwa report ya mwisho na kupata alama nzuri. Akienda kazini hata kudraft barua ni shida.

Muelekeze nini cha kufanya badala ya kumfanyia. Utamsaidia.
 
Ninawaza hapa,kuna mtu anahitaji nimtengenezee (design) Research Proposal kwenye moja ya current issues lakini ameniuliza bei gani? Sina jibu,wajuzi mnisaidie.Minimum na maximum iwe bei gani? Akili zenu ninachanganya na zangu.

Mwambie Afanye mwenyewe
Alienda kusoma ili iweje
 
Hiyo ni Sawa na kumfanyia mtihani mwanafunzi mwingine. Kumbuka huyo mwanafunzi anapimwa Kwa hata uandishi wake pia. Kumpa ushauri juu ya research proposal Sawa, lakini kumuandikia proposal ni Sawa na jinai
Ndio nilitaka kuuliza hapa hii kitu ni halali Kisheria?. Nilipata demu fulani hivi yupo masters Mzumbe akaniomba kama laki5 eti aongezee itimie 1.2mil afanyie proposal nikamuuliza Bachelor nani alikufanyia Proposal akajibu ni yeye mwenyewe nikamwambia kwanini usifuate procedures zile zile za Bachelor kufanya,akijibu ooh muda umeenda mara uvivu,nikapiga chini nikamwambia akawaambie Wazazi wake hilo swala.
 
Mtoze laki. Si kila kitu kwako?, I mean kutype printing? Au? Kama at a type yeye na kuprint, kula fifty, ila kama utafanya wewe kila kitu, mtoze laki ndugu kiroho safi.
Sasa ukishamwandikia yeye lini atakuwa na upeo wa kufikiri?
 
Mkuu huyo mpige hamsini ya ushauri tu, then vingine amalize mwenyewe..

Akikomaa sana mpige 250K, kiafya sio mbaya akili itamkaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…