Gharama za kuandaa Reseach proposal huwa zikoje?

Mie nashauri muite umpe ushauri kwa gharama nafuu ya laki 1. Kumuandikia utamlemaza. Japo ikiwa ni kwa ajili ya biashara, basi mpige 1M. Hataki akomae mwenyewe.

Sometimes tunapaswa kutoza gharama kubwa katika mambo kama haya ili kuua pladgiarism mentality.

Watu wamwkuwa wazembe sana wa kushughulisha brain zao. Mwishowe sasa tuna graduates wasioweza hata kuandaa abstract, achilia mbali Concept Note.

Hatari sana. Hii michezo nimeiona Nairobi, waru wanapata hela kwa kufanya online jobs zikiwemo hizi za kuandalia watu Proposals, kuwafanyia academic works na kuandaa paper for publicationa. Kisha mtu analipwa ujira wake online na aliyeandikiwa kazi anaendelea na maisha yake.

Hii mambo imefika mbali na kwa mfumo wa Tanzania sasa, yapaswa huko vyuoni kuchunguzwe na mfumo ubadilike. Vinginevyo basi tutegemee tu watoto wenye kufanyiwa kazi za kitaaluma kuongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…