Poa najua kaka hauna utaalam ila kama inawezekana,chukua mchanga ambao unajua uko associated na Ruby then nenda kwa jamaa flan wa serikali wanaitwa GST wako cheap katika gharama zao afu waambie ili wakufanyie analysis ili ujue kuna minerals gan kaka mana unaweza ukasema Ruby tu kumbe kuna zaid ya Ruby nabaadae mtu akaj nufaika zaid
Kama mtu una sh milioni 5 badala ya kuanzisha ka mgodi kadogo, si unaweza pia fanya biashara ya kununua gemstones na kuziuza? Mwenye uzoefu na hii atujuze. Nasikia madini kama rhodolite, garnet, saphire, amathyst n.k yana soko zuri sema jinsi ya kuyanunua kwa wachimbaji ndo sielewi inakuaje hii
Haulewi unachokitafuta kaka,unamaswali mengi mpaka unapitiliza.maliza jambo moja then unakuja na jambo lingine.
Kwa hela iyo ninzuri kama upo interested na unataka kufanya biashara ya diamond nipm.
Habari zenu. Kwa wenye uzoefu katika sekta ya madini, kwa mtu anayetaka kuanzisha mgodiwa saizi ya kati, ni madini ya aina gani hayana gharama kubwa kuchimba na processing?
Habari zenu. Kwa wenye uzoefu katika sekta ya madini, kwa mtu anayetaka kuanzisha mgodiwa saizi ya kati, ni madini ya aina gani hayana gharama kubwa kuchimba na processing?
Inabidi unipe info zote hapa kuhusu diamond maana pia kuna watu wengine nao wangependa kufahau haya mambo
Mi nina sh milioni 50 na nataka kuanzisha mgodi mdogo wa madini aina ya spinel yanapatikana sana mahenge sema tu naogopa nisije nikapoteza hela yangu maaana nimeitafuta kuwa ugumu na kwa muda mrefu sana
Guys kama kuna mtu yoyote anataka kudeal na biashara ya madini then nakushauri uinvest katika dhahabu na si kitu kingine na kama uamini toka dar na panda basi mpaka Kahama mjini na ukifika tafuta mabasi yanayoenda kakola na ukifika then kuna sehem inaitwa Nyangarata ni sehemu ya wachimbaji wadogo ila ina market yan watu wanatajirika na crusher ziko chache na watu wapo wengi,please naomba utembelee huku afu ndo ufanye uamuz na hiyo helako,nakuomba ujaribu nnachokuambia