- Thread starter
- #21
Swali jingine: Kuna jamaa yangu ana kibali cha kuchimba dhahabu kwenye eneo moja handeni karibu na bagamoyo, sasa hilo eneo halina maji. Sasa anafikiria kupeleka malori kuchukua mchanga na kupeleka kwenye mashine ya kusafishia iliyoko kibaha. Hii inaruhusiwa kisheria?