Gharama za kuanzisha mgodi tz

Gharama za kuanzisha mgodi tz

Swali jingine: Kuna jamaa yangu ana kibali cha kuchimba dhahabu kwenye eneo moja handeni karibu na bagamoyo, sasa hilo eneo halina maji. Sasa anafikiria kupeleka malori kuchukua mchanga na kupeleka kwenye mashine ya kusafishia iliyoko kibaha. Hii inaruhusiwa kisheria?
 
Poa najua kaka hauna utaalam ila kama inawezekana,chukua mchanga ambao unajua uko associated na Ruby then nenda kwa jamaa flan wa serikali wanaitwa GST wako cheap katika gharama zao afu waambie ili wakufanyie analysis ili ujue kuna minerals gan kaka mana unaweza ukasema Ruby tu kumbe kuna zaid ya Ruby nabaadae mtu akaj nufaika zaid

Au aje dodoma akija anitafute nimpeleke.
 
Kama mtu una sh milioni 5 badala ya kuanzisha ka mgodi kadogo, si unaweza pia fanya biashara ya kununua gemstones na kuziuza? Mwenye uzoefu na hii atujuze. Nasikia madini kama rhodolite, garnet, saphire, amathyst n.k yana soko zuri sema jinsi ya kuyanunua kwa wachimbaji ndo sielewi inakuaje hii

Haulewi unachokitafuta kaka,unamaswali mengi mpaka unapitiliza.maliza jambo moja then unakuja na jambo lingine.

Kwa hela iyo ninzuri kama upo interested na unataka kufanya biashara ya diamond nipm.
 
Haulewi unachokitafuta kaka,unamaswali mengi mpaka unapitiliza.maliza jambo moja then unakuja na jambo lingine.

Kwa hela iyo ninzuri kama upo interested na unataka kufanya biashara ya diamond nipm.

Inabidi unipe info zote hapa kuhusu diamond maana pia kuna watu wengine nao wangependa kufahau haya mambo
 
Habari zenu. Kwa wenye uzoefu katika sekta ya madini, kwa mtu anayetaka kuanzisha mgodiwa saizi ya kati, ni madini ya aina gani hayana gharama kubwa kuchimba na processing?

Kwani wewe ulikuwa unataka kuanzisha mgodi wa kuchimba madini gani?!
 
Habari zenu. Kwa wenye uzoefu katika sekta ya madini, kwa mtu anayetaka kuanzisha mgodiwa saizi ya kati, ni madini ya aina gani hayana gharama kubwa kuchimba na processing?

Wewe ndio ungesema una kiasi gani watu wakuambie.
 
Mi nina sh milioni 50 na nataka kuanzisha mgodi mdogo wa madini aina ya spinel yanapatikana sana mahenge sema tu naogopa nisije nikapoteza hela yangu maaana nimeitafuta kuwa ugumu na kwa muda mrefu sana
 
Guys kama kuna mtu yoyote anataka kudeal na biashara ya madini then nakushauri uinvest katika dhahabu na si kitu kingine na kama uamini toka dar na panda basi mpaka Kahama mjini na ukifika tafuta mabasi yanayoenda kakola na ukifika then kuna sehem inaitwa Nyangarata ni sehemu ya wachimbaji wadogo ila ina market yan watu wanatajirika na crusher ziko chache na watu wapo wengi,please naomba utembelee huku afu ndo ufanye uamuz na hiyo helako,nakuomba ujaribu nnachokuambia
 
Nashukuruni wadau kwa ushauri wenu, nimeshajua ni jinsi gani ntaanzia.
 
kaka naamini inaruhusiwa ila cna uhakika sana na mbele ya hao watu usiseme kama ni mchanga unaocontain mineals ila nahisi kama cost ni kubwa sana
 
Katika pitapita hapa nimeona kuna mtu ana eneo lenye dhahabu moro,mwingine rubby,sasa unaonaje kuunganisha mtaji na watu humu watakaokuwa interested na hao wenye maeneo pia watatoa maeneo yao kama share capital then naamini kuna wasemaji wazuri kama Ritz na tutatafuta wataalamu then we can start small but with big vision.
Tukianza na wote waliochangia watakuwa members wa bodi ya wakurugenzi then kama kuna mtu ana utaalamu mahali fulani eg accounting,minerals,management,hr,it,engineering etc wataanza kutumia uzoefu wao kabla ya kuanza kuajili.
naamini kuna watanzania wengi wenye pesa ila hawana pa kuweka kama wakiona project kubwa kama hii imeinvolve watu wengi nao watakuwa interested tuache kujifikiria wenyewe tu bali tulete changes katika community.kwa hiyo 50mill yako tukianza harambee kwa watakaokuwa interested na matajiri wakubwa kuwapelekea proposal we can reach 500mill or above what a leverage?

Mi nina sh milioni 50 na nataka kuanzisha mgodi mdogo wa madini aina ya spinel yanapatikana sana mahenge sema tu naogopa nisije nikapoteza hela yangu maaana nimeitafuta kuwa ugumu na kwa muda mrefu sana
 
Last edited by a moderator:
Broda that idea imetulia kwa sana yan kwa sana,kama mko fresh then inatakiwa tupange siku na tuonane wote na kuongelea kuhusu hilo jambo na je hiyo dhahabu ni ya kuchimba kwa umbali mrefu au?yani ipo karibu na ardhi au?
 
Nime mpm KIGUMU CHAMA maana ndiye ana eneo morogoro lenye madini ya dhahabu na ruby anatafuta mwekezaji.
 
Last edited by a moderator:
Guys kama kuna mtu yoyote anataka kudeal na biashara ya madini then nakushauri uinvest katika dhahabu na si kitu kingine na kama uamini toka dar na panda basi mpaka Kahama mjini na ukifika tafuta mabasi yanayoenda kakola na ukifika then kuna sehem inaitwa Nyangarata ni sehemu ya wachimbaji wadogo ila ina market yan watu wanatajirika na crusher ziko chache na watu wapo wengi,please naomba utembelee huku afu ndo ufanye uamuz na hiyo helako,nakuomba ujaribu nnachokuambia

kweli mkuu kama tanzanite ac jaribuka kama hujajipanga japo ina ela nzuri
 
Back
Top Bottom