Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuendelee kumsifia mama ambaye mpaka mauti yetu kwake ni fursa ya maokoto.Kuna jambo la naona wengi tunalalamika ila hakuna linapofika.
Miezi kadhaa iliyopita Hospitali ya Muhimbili ilianzisha tozo za parking ambazo ilikuwa ukikaa chini ya nusu saa ni bure ila ukizidisha utalipa Shilingi 1,000 kama utakaa chini ya saa tatu.
Kisha wakasema ikiongezeka hapo kila baada ya saa mbili (Dakika 120) utalipia Shilingi 1,000 nyingine. Japo nayo ilikuwa ni ghali kiasi ila walau tulikuwa tunaweza kuimudu kwa kiwango flani.
Sasa hivi wamebadilisha tozo na imekuwa ukikaa chini ya nusu saa ni bure ila ukizidi kila saa moja unalipia Shillingi 1000.
Just imagine kuna huduma gani unaweza kwenda kuifata Muhimbili na ukatumia dakika 20?
Ukienda na mgonjwa wako pale iwe anaumwa au clinic jiandae kupoteza zaidi ya saa tano na pengine inaweza kiwa siku nzima.
Sasa hii inakuwaje, Hospitali ya Serikali tena ya Taifa inatoza wagonjwa wake parking fees zilizo ghali hivi? Hatukatai kuweka parking charges ila hizi zilizobadilishwa sasa ni kali, uwezekano wa kuacha Shilingi 12,000 kila siku ukienda kupata huduma ni mkubwa.
Soma pia Wanaopaki magari Hospitali ya Muhimbili kuanza kulipia
Kuna jambo la naona wengi tunalalamika ila hakuna linapofika.

tumia UBER/BOLT mkuu utaepuka mengi sanaIt's too much kwa kweli, wanafanya kama business center watu wanaenda kufuata mahitaji au ku-refresh. Tunaenda MNH kwa sababu ya matatizo, hizo fees za parking ni mzigo.
Ndo shida ya wabongo kuwaponza wengineWengine walikuwa na tabia za kupaki magari Muhimbili halafu kuyafuata baadaye.
Yaan unashindwa kujitetea unasubiria mtu mwingine ndiyo aje kukuteteaNa kadri siku zinavokwenda watanogewa zaidi na watapandisha zaidi maana hakuna wa kututetea kwa sasa
Wengi tunaijua hii. Itakuwa kuna jamaa wamevujisha siri [emoji38][emoji38][emoji38]Wengine walikuwa na tabia za kupaki magari Muhimbili halafu kuyafuata baadaye.
2mia akaili bro!!!!,jamaa wa muhimbili wanajaribu kupunguza car pullution {uchafu wa wingi wa magari kwa kutumia akili kubwa] ujue ile hispitali ndo hospitali kuu ya nchi,sasa wakiachia kiholela wa2 waingieze magari yao ata sehemu ya kupita kwa miguu itakuwa hamna!!!!!!!,,,,,,,ndomanake wanajaribu kwa njia hizo kukabiliana na hilo janga!!!,,,,pia wanawaonea huruma,,,ili mfanye mazoezi,kwani ukipaki gari pale upanga au kariakoo au fire then ukatembea kwa miguu kunakupunguzia heshima??? au jamaa wanaokufaham watakuona umefail?????,,,,,,,,,,,,paki gari mbali,chapa mwendo!!!Kuna jambo la naona wengi tunalalamika ila hakuna linapofika.
Miezi kadhaa iliyopita Hospitali ya Muhimbili ilianzisha tozo za parking ambazo ilikuwa ukikaa chini ya nusu saa ni bure ila ukizidisha utalipa Shilingi 1,000 kama utakaa chini ya saa tatu.
Kisha wakasema ikiongezeka hapo kila baada ya saa mbili (Dakika 120) utalipia Shilingi 1,000 nyingine. Japo nayo ilikuwa ni ghali kiasi ila walau tulikuwa tunaweza kuimudu kwa kiwango flani.
Sasa hivi wamebadilisha tozo na imekuwa ukikaa chini ya nusu saa ni bure ila ukizidi kila saa moja unalipia Shillingi 1000.
Just imagine kuna huduma gani unaweza kwenda kuifata Muhimbili na ukatumia dakika 20?
Ukienda na mgonjwa wako pale iwe anaumwa au clinic jiandae kupoteza zaidi ya saa tano na pengine inaweza kiwa siku nzima.
Sasa hii inakuwaje, Hospitali ya Serikali tena ya Taifa inatoza wagonjwa wake parking fees zilizo ghali hivi? Hatukatai kuweka parking charges ila hizi zilizobadilishwa sasa ni kali, uwezekano wa kuacha Shilingi 12,000 kila siku ukienda kupata huduma ni mkubwa.
Soma pia Wanaopaki magari Hospitali ya Muhimbili kuanza kulipia
Tunawasemea wenye usafiri wao na wana wagonjwa pale.tumia UBER/BOLT mkuu utaepuka mengi sana
Janaume linalia liaIt's too much kwa kweli, wanafanya kama business center watu wanaenda kufuata mahitaji au ku-refresh. Tunaenda MNH kwa sababu ya matatizo, hizo fees za parking ni mzigo.
Siku hizi ustaarabu wako ni zero kabisa, umekuwaje mzee baba!!Janaume linalia lia