DOKEZO Gharama za kuegesha gari Hospitali ya Muhimbili ni kubwa na zinaumiza

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tuendelee kumsifia mama ambaye mpaka mauti yetu kwake ni fursa ya maokoto.
 
mkuu jiji la dar es salaam siku hizi usafiri sio wa shida...utatumia gharama ndogo sana enda utaamua kutumia UBER/BOLT.

Muhimbili wameamua kufanya hivyo ili kupunguza idadi ya magari ndani ya hospital ambayo mengi yalikuwa yanatelekezwa na wafanyakazi wa nje ya hospital watu wakajipatia fursa ya kupaki kisha wanatokomea kariakoo huko siku nzima.

ilikuwatimua sasa wakaja na tozo za parking...hiyo tozo inaweza ikapanda zaidi ya hapo...!

tumia UBER/BOLT...!​
 
It's too much kwa kweli, wanafanya kama business center watu wanaenda kufuata mahitaji au ku-refresh. Tunaenda MNH kwa sababu ya matatizo, hizo fees za parking ni mzigo.
tumia UBER/BOLT mkuu utaepuka mengi sana
 
2mia akaili bro!!!!,jamaa wa muhimbili wanajaribu kupunguza car pullution {uchafu wa wingi wa magari kwa kutumia akili kubwa] ujue ile hispitali ndo hospitali kuu ya nchi,sasa wakiachia kiholela wa2 waingieze magari yao ata sehemu ya kupita kwa miguu itakuwa hamna!!!!!!!,,,,,,,ndomanake wanajaribu kwa njia hizo kukabiliana na hilo janga!!!,,,,pia wanawaonea huruma,,,ili mfanye mazoezi,kwani ukipaki gari pale upanga au kariakoo au fire then ukatembea kwa miguu kunakupunguzia heshima??? au jamaa wanaokufaham watakuona umefail?????,,,,,,,,,,,,paki gari mbali,chapa mwendo!!!
 
It's too much kwa kweli, wanafanya kama business center watu wanaenda kufuata mahitaji au ku-refresh. Tunaenda MNH kwa sababu ya matatizo, hizo fees za parking ni mzigo.
Janaume linalia lia
 
Hizo gharama ni bora ziwepo tu maana ikiwa bure vip wanaoingia watapaki wapi unapewa tozo ili ukishindwa uachie na wenzio wa paki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…