mimi sijasema ni nyingi
swali la msingi ni Kwa nini hazifanani na ni tozo za serikali? inaonesha kuna ubabaishaji hapo
Agent fee peke yake ndio inatakiwa iwe tofauti
Utalipa ushuru wa TRA
Utalipa wharfage TRA
Utalipa port charges (handling, corridor levy etc)
Utalipa shipping line
Utalipa gharama za clearing and forwarding
Sasa taja aina ya gari na mwaka ili tupate excat figure.