Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro we agiza gari tu kama unataka,hizo story nyingine hizo achana nazo.Tatizo la msingi sio hela hapo, ni kwa nini kodi za serikali zisifanane?
Tafuta TPA tarrif guide na TRA tarrif guide hesabu zote zipo hukomimi sijasema ni nyingi
swali la msingi ni Kwa nini hazifanani na ni tozo za serikali? inaonesha kuna ubabaishaji hapo
Agent fee peke yake ndio inatakiwa iwe tofauti
Utalipa ushuru wa TRAgharama za kupitisha vyombo vya moto bandarini
gharama zipi mkuu?mbona hazionekani?gharama za kupitisha vyombo vya moto bandarini