Gharama za kumkufuru Mungu

wewe kwanza ujui maana ya kufuru, kitendo cha kuimta yesu mungu hiyo 1 kufuru kubwa sana
 
Aliyesema hamhitaji Yesu akakutwa na umauti, sio sababu za kumkataa Yesu kwani Yesu sio wa wote, mf. Waislamu. Nafikiri hata Ile meli iliyozama ni mambo ya kafara. Waliofanikiwa wengi wanamkufuru Mungu na wanapeta. Huenda Mungu anatengenezwa na binadamu kwenye akili. Pure imagination!
 
Mada nzuri inafundisha, ila umeharibu ulipoanza kulazimisha tutume kwenye makundi ya whatsapp.!
 
yesu sio Mungu, binadamu kama wewe
 
Mwenzake Rakims ndio kafungua kilinge cha kiganga, anaagua huko.
Nadhani hapa mnamuongelea mtu aliyewahi kufanya kufuru au anaefanya kufuru mimi nimewahi kufanya kufuru gani wewe ukaishuhudia hadi kusema mwenzangu huyu kiranga?
Ulishawahi kuona imani yangu au elimu yangu na ya kiranga zinafanana au?
 
Mwambie huyo Mungu wako ajishushe dunian aje apambane na raia live na sio ninyi kumtetea kwa stor za kipumbavu.

Unapoongelea Mungu uwe unataja na Mungu yupi maana dunia ina Waungu wengi, kuanzia huyo wa wakristo, waislam, wahindu, wabudha, waabudu mizimu na wengineo hawa wote wanadai Miungu yao ni kweli, sasa sijui kati ya hao ni yupi Mungu unaemuongelea wew.

Hizi habari kwa kizazi kijacho itakuwa ni kichekesho maana tunakoelekea watu wengi wataacha kuamini hizo stori za hao Miungu wenu, biblia&quran vitakuwa vitabu vya maonesho huko national museums ambako watu watalipia kwenda kuona vitabu vilivyoharibu akili za babu zao, ambao ndio ninyi watu waleo mliolewa na hayo mafundisho ya uongo.
 
Tuchukuwe mda mwingi kujadili vitu vinavyoonekana, visivyoonekana ni kupoteza mda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…