Gharama za kumleta Diamond platnaumz uwanjani ni Bora zingetumika katika kuongeza thamani ya kombe (Mapinduzi Cup)

Hata kumuita Diamond ni kulipa thamani hilo kombe. Hayo mengine ya kutafuta wadhamini ni mapendekezo. Tunatumia wasanii wakubwa KULETA mvuto na kufanya watu wafuatilie zaidi.
Hahahahah na ndiyo ukweli wa mambo.
 
Sherehe za kusherehekea mapinduzi ya Zanzibar ila muziki ni amapiano
 
Unaweza kuwa sawa, lakini kimtazamo watu wenye mawazo kama yako ni wachache. Kwa hiyo kwa waandaaji wa Mapinduzi wamefanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…