BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Hahahahah na ndiyo ukweli wa mambo.Hata kumuita Diamond ni kulipa thamani hilo kombe. Hayo mengine ya kutafuta wadhamini ni mapendekezo. Tunatumia wasanii wakubwa KULETA mvuto na kufanya watu wafuatilie zaidi.