Gharama za kumleta Diamond platnaumz uwanjani ni Bora zingetumika katika kuongeza thamani ya kombe (Mapinduzi Cup)

Gharama za kumleta Diamond platnaumz uwanjani ni Bora zingetumika katika kuongeza thamani ya kombe (Mapinduzi Cup)

Hata kumuita Diamond ni kulipa thamani hilo kombe. Hayo mengine ya kutafuta wadhamini ni mapendekezo. Tunatumia wasanii wakubwa KULETA mvuto na kufanya watu wafuatilie zaidi.
Hahahahah na ndiyo ukweli wa mambo.
 
Sherehe za kusherehekea mapinduzi ya Zanzibar ila muziki ni amapiano
 
Kwa baadhi yetu wachache tuliposikia diamond atakuwepo tukapata muda mzuri wa kufanya mambo mengine.

Siwezi kuwa mfuasi wa mtu mpuuzi anayetangaza ngono za kila namna.
Mtu aliyefanikiwa kuwa brainwash hadi watu wa itifaki ya ikulu ya Zanzibar, hadi wanafurahia kutangaziwa ngono zembe.
Sio ajabu Zanzibar inaongoza kwa tabia za kisodoma
Unaweza kuwa sawa, lakini kimtazamo watu wenye mawazo kama yako ni wachache. Kwa hiyo kwa waandaaji wa Mapinduzi wamefanikiwa.
 
Back
Top Bottom