Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Duuuh! uzee unaogopesha,maana kama mtoto tu,anataka baba yake afe,hii si hatari,na hapo mzee alizaa akaipigania familia ili ije imtunze baadae,lakini ndo hivyo,aisee.
 
Roho mbaya tu.

Pesa zatafutwa.

Kifo kiwe asili sio cha kuharakisha.

Halafu mwanamke akikumbia huna pesa unakuja kulalamika hapa, kwa mfano huu unatofauti gani na mwanamke anayemkimbia mwanaume aliefilisika?
wewe toka uanze kutafuta mbona hujapata?
 
Duuuh! uzee unaogopesha,maana kama mtoto tu,anataka baba yake afe,hii si hatari,na hapo mzee alizaa akaipigania familia ili ije imtunze baadae,lakini ndo hivyo,aisee.
unapaswa utumie akili mzee ana miaka 97 amezeeka hana kumbukumbu hata ya mtu, hawezi chochote cha kufanya, mnapigania kwa gharama kubwa aishi.... ikiwa siku zake zimefika ukingoni ili iweje sasa? badala ya kupambana sasa kusaidia hawa ambao wana umria mbao angalau kama wakiishi wanaweza endelea na ujenzi wa taifa na familia. acheni unafiki nyie watu. kuna umri ukifika kifo kitakuja tu hata kwa kuwekewa mashine ya kupumua.... mtu anashinda ICU amewekewa mashine ya kupumulia. mnalipia pesa nyingi mpaka lini?ili iweje? tulishampeleka India wakasema umri umeenda kuna matibabu hawezi pewa tena, kuna dawa hazimfai ...mnataka tuendelee kuhudumia nini? HUO NI UNAFIQ TU UMEWAJAA.
 
Una roho mbaya sana.

Kama unaona kifo ni rahisi basi anza wewe.
 
 
Una roho mbaya sana.

Kama unaona kifo ni rahisi basi anza wewe.
unapaswa utumie akili mzee ana miaka 97 amezeeka hana kumbukumbu hata ya mtu, hawezi chochote cha kufanya, mnapigania kwa gharama kubwa aishi.... ikiwa siku zake zimefika ukingoni ili iweje sasa? badala ya kupambana sasa kusaidia hawa ambao wana umria mbao angalau kama wakiishi wanaweza endelea na ujenzi wa taifa na familia. acheni unafiki nyie watu. kuna umri ukifika kifo kitakuja tu hata kwa kuwekewa mashine ya kupumua.... mtu anashinda ICU amewekewa mashine ya kupumulia. mnalipia pesa nyingi mpaka lini?ili iweje? tulishampeleka India wakasema umri umeenda kuna matibabu hawezi pewa tena, kuna dawa hazimfai ...mnataka tuendelee kuhudumia nini? HUO NI UNAFIQ TU UMEWAJAA
 
Nitahudhunika sana ikiwa huyu mzee amefariki....hapo ndio itakuja ile tafsiri ya ule msemo "unaweza ukawa na watoto 9 ukawalea wote Kwa usawa ukatumia gharama zako zote wakasoma na kazi wakapata lakini watoto hao 9 wakashindwa kabisa kukulea kama ulivyowalea"
😭😭😭😭​
 
Nunua Zimbambwe mpe akunywe afe
Au nenda duka la mifugo tafta sumu mletee umpe

Ujue kuna watu mnakuaga vilaza sana pesa inataftwa ila uhai ukienda umeenda na hautorudi wala akuna pesa ya kurudisha uhai
Iv unazan km ww ndo ungekua mgojwa wa kufa baba yako angekuja humu kuomba msaada au kutangaza
Ndg baba ni mmoja tu dunian na akuna mwingne km unaweza mpambania akapona fanya ivyo na ikitokea kafariki bas itakua mipango ya Mola
 
utahudhunika? ndo lugha gani hiyo? acha unafiq... mzee wa miaka 97 amelazwa ICU anatumia gaskwa week 3 unajua gharama yake kwa siku? bado alikuwa ameshazeeka hajitambui, hana kumbukumbu yoyote. ulitaka aendelee kuishi akiteseka? anatumia mtungi wakati wote kupumua, anatumia mirija kula na kukojoa? wewe una akili au unajitia unafiq tu?
 

acha unafiq... mzee wa miaka 97 amelazwa ICU anatumia gaskwa week 3 unajua gharama yake kwa siku? bado alikuwa ameshazeeka hajitambui, hana kumbukumbu yoyote. ulitaka aendelee kuishi akiteseka? anatumia mtungi wakati wote kupumua, anatumia mirija kula na kukojoa? wewe una akili au unajitia unafiq tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…