Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Duuuh! uzee unaogopesha,maana kama mtoto tu,anataka baba yake afe,hii si hatari,na hapo mzee alizaa akaipigania familia ili ije imtunze baadae,lakini ndo hivyo,aisee.
 
Roho mbaya tu.

Pesa zatafutwa.

Kifo kiwe asili sio cha kuharakisha.

Halafu mwanamke akikumbia huna pesa unakuja kulalamika hapa, kwa mfano huu unatofauti gani na mwanamke anayemkimbia mwanaume aliefilisika?
wewe toka uanze kutafuta mbona hujapata?
 
Duuuh! uzee unaogopesha,maana kama mtoto tu,anataka baba yake afe,hii si hatari,na hapo mzee alizaa akaipigania familia ili ije imtunze baadae,lakini ndo hivyo,aisee.
unapaswa utumie akili mzee ana miaka 97 amezeeka hana kumbukumbu hata ya mtu, hawezi chochote cha kufanya, mnapigania kwa gharama kubwa aishi.... ikiwa siku zake zimefika ukingoni ili iweje sasa? badala ya kupambana sasa kusaidia hawa ambao wana umria mbao angalau kama wakiishi wanaweza endelea na ujenzi wa taifa na familia. acheni unafiki nyie watu. kuna umri ukifika kifo kitakuja tu hata kwa kuwekewa mashine ya kupumua.... mtu anashinda ICU amewekewa mashine ya kupumulia. mnalipia pesa nyingi mpaka lini?ili iweje? tulishampeleka India wakasema umri umeenda kuna matibabu hawezi pewa tena, kuna dawa hazimfai ...mnataka tuendelee kuhudumia nini? HUO NI UNAFIQ TU UMEWAJAA.
 
Kuna kipindi pia aliumwaaa.... tukafikia hatua tukasema bora tu arudishe number maana sasa inakuwa changamoto kwetu. Akaja akapona. Shida ikawa pale pale. Hakuna afadhali akiwa mzima shida akiugua shida. Ni msumbufu sana.

Sasa this time anaumwa tena. mwezi wa 3 huu amelala tumehamisha hosp zote. Tunagharamia ukimwangalia age yake nayo imeenda sana. 90 plus. Anataka aendelee kuishi kufanya nini hapa duniani? Sasa tunatumia pesa ambazo zingesaidia wajukuu wake kumtibu mgonjwa mbaye kwa kweli ameshakula chumvi ya kutosha hapa duniani. Mwisho wa siku tunamuona tu kama chuma ulete. Maana kila pesa zetu zinaenda kwenye matibabu yake. Meno yake yameshatoka, anaishi kwa shida. Anaanikwa tu juani kama mjusi ila bado anataka aendelee kuishi. Unajiuliza aishi kufanya nini hapa duniani? Mbona alishamaliza kila kitu?

Sasa inafikia kipindi tunasema bora tu akapumzike nasi tupumzike kidogo maana atatufilisi kwa kweli. Mimi nimeshauza gari moja, nimechukua mkopo, nimekuwa sasa nina madeni ile mbaya. Kwa mabro wengine nao.. ishakuwa shida. Maana tulishampeleka mpaka India kipindi fulani. Wakatwambia kwa huu umri asifanyiwe hayo matibabu maana kinga zake nazo zimekosa nguvu. So alilazwa tu akipewa madawa miezi mitatu. Gharama kubwa ilikuja kwetu. Akarudi amekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa trip moja shamba nyingine gereji.

Ila bado mbishi sana, bado anataka atibiwe na kupelekwa hosp za gharama, sasa mzee si atatuacha watoto wake tumefilisika halafu ndo afe? Hapo tutakuwa tumefanya nini? Nahitaji ushauri wenu kwa kweli hili jambo limenifika hatua nimechoka sana. Sipendi unafiki... hii hali ni ngumu sana maana sasa hata ukiona simu toka kwa ndugu unashindwa kupokea maana huchelewi kuambiwa sasa tuchangie kila mtu atoe 700,000 kuna vipimo na matibabu flani tena yanatakiwa.
Una roho mbaya sana.

Kama unaona kifo ni rahisi basi anza wewe.
 
unapaswa utumie akili mzee ana miaka 97 amezeeka hana kumbukumbu hata ya mtu, hawezi chochote cha kufanya, mnapigania kwa gharama kubwa aishi.... ikiwa siku zake zimefika ukingoni ili iweje sasa? badala ya kupambana sasa kusaidia hawa ambao wana umria mbao angalau kama wakiishi wanaweza endelea na ujenzi wa taifa na familia. acheni unafiki nyie watu. kuna umri ukifika kifo kitakuja tu hata kwa kuwekewa mashine ya kupumua.... mtu anashinda ICU amewekewa mashine ya kupumulia. mnalipia pesa nyingi mpaka lini?ili iweje? tulishampeleka India wakasema umri umeenda kuna matibabu hawezi pewa tena, kuna dawa hazimfai ...mnataka tuendelee kuhudumia nini? HUO NI UNAFIQ TU UMEWAJAAUna roho mbaya sana.

Kama unaona kifo ni rahisi basi anza wewe.
 
Una roho mbaya sana.

Kama unaona kifo ni rahisi basi anza wewe.
unapaswa utumie akili mzee ana miaka 97 amezeeka hana kumbukumbu hata ya mtu, hawezi chochote cha kufanya, mnapigania kwa gharama kubwa aishi.... ikiwa siku zake zimefika ukingoni ili iweje sasa? badala ya kupambana sasa kusaidia hawa ambao wana umria mbao angalau kama wakiishi wanaweza endelea na ujenzi wa taifa na familia. acheni unafiki nyie watu. kuna umri ukifika kifo kitakuja tu hata kwa kuwekewa mashine ya kupumua.... mtu anashinda ICU amewekewa mashine ya kupumulia. mnalipia pesa nyingi mpaka lini?ili iweje? tulishampeleka India wakasema umri umeenda kuna matibabu hawezi pewa tena, kuna dawa hazimfai ...mnataka tuendelee kuhudumia nini? HUO NI UNAFIQ TU UMEWAJAA
 
Nitahudhunika sana ikiwa huyu mzee amefariki....hapo ndio itakuja ile tafsiri ya ule msemo "unaweza ukawa na watoto 9 ukawalea wote Kwa usawa ukatumia gharama zako zote wakasoma na kazi wakapata lakini watoto hao 9 wakashindwa kabisa kukulea kama ulivyowalea"
😭😭😭😭​
 
Nunua Zimbambwe mpe akunywe afe
Au nenda duka la mifugo tafta sumu mletee umpe

Ujue kuna watu mnakuaga vilaza sana pesa inataftwa ila uhai ukienda umeenda na hautorudi wala akuna pesa ya kurudisha uhai
Iv unazan km ww ndo ungekua mgojwa wa kufa baba yako angekuja humu kuomba msaada au kutangaza
Ndg baba ni mmoja tu dunian na akuna mwingne km unaweza mpambania akapona fanya ivyo na ikitokea kafariki bas itakua mipango ya Mola
 
Nitahudhunika sana ikiwa huyu mzee amefariki....hapo ndio itakuja ile tafsiri ya ule msemo "unaweza ukawa na watoto 9 ukawalea wote Kwa usawa ukatumia gharama zako zote wakasoma na kazi wakapata lakini watoto hao 9 wakashindwa kabisa kukulea kama ulivyowalea"
😭😭😭😭​
utahudhunika? ndo lugha gani hiyo? acha unafiq... mzee wa miaka 97 amelazwa ICU anatumia gaskwa week 3 unajua gharama yake kwa siku? bado alikuwa ameshazeeka hajitambui, hana kumbukumbu yoyote. ulitaka aendelee kuishi akiteseka? anatumia mtungi wakati wote kupumua, anatumia mirija kula na kukojoa? wewe una akili au unajitia unafiq tu?
 
Nunua Zimbambwe mpe akunywe afe
Au nenda duka la mifugo tafta sumu mletee umpe

Ujue kuna watu mnakuaga vilaza sana pesa inataftwa ila uhai ukienda umeenda na hautorudi wala akuna pesa ya kurudisha uhai
Iv unazan km ww ndo ungekua mgojwa wa kufa baba yako angekuja humu kuomba msaada au kutangaza
Ndg baba ni mmoja tu dunian na akuna mwingne km unaweza mpambania akapona fanya ivyo na ikitokea kafariki bas itakua mipango ya Mola

acha unafiq... mzee wa miaka 97 amelazwa ICU anatumia gaskwa week 3 unajua gharama yake kwa siku? bado alikuwa ameshazeeka hajitambui, hana kumbukumbu yoyote. ulitaka aendelee kuishi akiteseka? anatumia mtungi wakati wote kupumua, anatumia mirija kula na kukojoa? wewe una akili au unajitia unafiq tu?
 
Back
Top Bottom