Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Hili takataka lililoleta hii mada sijui lina hali gani huko liliko? Yaani dunia huu imejaza matakataka! Sikuona kabisa haja ya kumfungulia uzi mzazi wake!
 
Nakuelewa bro. Ila mhudumie bila kunung'unika hutaishiwa kabisa. Ila hii pia ni shule tujitahid kuwekeza ili hela ituhudumie uzeen tuache tabia za kuwapiga mkwara watoto wa kuachia laana.
 
Hio laki 7 usitoe mkuu nunua sumu ya jero😊
 
Hata wewe ukiwa mtoto ulimtesa sana. Umasikini na ufukara wake umechangiwa na wewe na ndugu zako. Mzee hakuweza kufanya jambo la maendeleo kwani Kila alichopata aliwekeza kwenye elimu, afya , mavazi, malazi na chakula chenu ninyi mliokuwa mnafyeka kuliko mchwa.!!! Sasa mnajiona wajanja, mnajiona mlivyo navyo kama mmezalisha wenyewe...

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa makini sana, muuguze mpaka mwisho achana na kuwaza mambo mengine yoyote. Do what you can! Hauwezijua wewe utaishi miaka mingapi na wanao watasumbuka na wewe kiasi gani. Ni noma sana, usiuguze mzazi kwa masononeko hata kidogo.
 
Chizi hilo achana nalo.
 
Nakuelewa bro. Ila mhudumie bila kunung'unika hutaishiwa kabisa. Ila hii pia ni shule tujitahid kuwekeza ili hela ituhudumie uzeen tuache tabia za kuwapiga mkwara watoto wa kuachia laana.
Ila watu wengine tunakuwa kama mazuzu, yaani mzazi wako augue wewe utamani afe? Unajua alijinyima vingapi ili wewe uende shule? Na hiyo kazi unayoringa nayo bila elimu ungeipata wapi? Chizi Maarifa jina lake limesadifu haiba take!
 
Kuwa makini sana, muuguze mpaka mwisho achana na kuwaza mambo mengine yoyote. Do what you can! Hauwezijua wewe utaishi miaka mingapi na wanao watasumbuka na wewe kiasi gani. Ni noma sana, usiuguze mzazi kwa masononeko hata kidogo.
Hili mkuu ni chizi!
 
Sasa kwanini hakutafuta pesa kwnza ndo awazae hao watoto. Huu utetezi wako hauna mashiko.
 
Dah inawezekana unapoint ila aina ya wasikishaji wa hii taarifa ni ya kiwaki sana umemkosea heshima na utu kwa mzee wako, hata kama mmechoka kumuhudumia bado nasfi yake ilikuwa hai alitakiwa kutunzwa na kupendwa hata kama sio kwa kiwango kikubwa lakini shown love Ni kila kitu kwa watu wenye umri mkubwa.

Bibi yetu alikuwa kwenye hali kama hiyo akiifikisha miaka 94 alipoteza kumbukumbu meno yote tulijitahidi sana kumuonyesha upendo hata kama kumbukumbu alikuwa hana tukamuhirw mtu wa kumtunza 24hrs tulijua kuwa wakati mwingine alitakiwa kufanyiwa matibabu ambayo tulijua kuwa itakuwa gharama kubwa, tulichokifanya tulikubaliana wote tufanye kwa kiasi kinachowezekana hasa kumpigania diet yake
 
Leo siku yangu imekua poa sana kwa kumkumbatia mama yangu na kumkalisha kwenye wheel chair kisha kumtoa nje apate japo hewa fresh na kajua fulani hivi.

Nilimuahidi nitakaa naye japo lisaa limoja tukipiga story japo haoni ila ilikua ni furaha kubwa sana kwake.

Sasa kilichotokea baada tu ya kumtoa nje mama,
Nimepata tenda zisizo na mwisho mpaka usiku wa saa mbili usiku wa leo.

Nimeingiza hela nyingi sana leo....

Usirudi kuandika upuuzi huu wa kuona mzazi wako hana thamani kuzidi ulivyo navyo
 
Msaidieni asiwe na maumivu. Kwa umri huo hatarudi kwenye ujana tena.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
unapaswa utumie akili mzee ana miaka 97 amezeeka hana kumbukumbu hata ya mtu, hawezi chochote cha kufanya, mnapigania kwa gharama kubwa aishi.... ikiwa siku zake zimefika ukingoni ili iweje sasa? badala ya kupambana sasa kusaidia hawa ambao wana umria mbao angalau kama wakiishi wanaweza endelea na ujenzi wa taifa na familia. acheni unafiki nyie watu. kuna umri ukifika kifo kitakuja tu hata kwa kuwekewa mashine ya kupumua.... mtu anashinda ICU amewekewa mashine ya kupumulia. mnalipia pesa nyingi mpaka lini?ili iweje? tulishampeleka India wakasema umri umeenda kuna matibabu hawezi pewa tena, kuna dawa hazimfai ...mnataka tuendelee kuhudumia nini? HUO NI UNAFIQ TU UMEWAJAAUna roho mbaya sana
Hahahaha
Mkuu naona laana imeanza kazi kabla haijasomwa.kwako.

Jinsi ya khiepuka toa hiyo 709k akatibiwe


Unaposema bado anataka kuishi unamaanisha nini[emoji28][emoji28]

Kwani analazimishaje kuishi? Hakuna hila mtafanya ifupishe safari?

Kimsingi sioni sababu ya mtu kuishi umri mrefu kama huo hata mimi sitaki

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugu kuzaa siyo kupata,Mungu amsamehe tu mleta mada.


Jiweke wewe mahali pake
"Everybody wants to go to heaven but no one wants to die" PETER TOSH ( The Wailers)
 
Haki ya kuiwhi na kupata ulinzi wa maisha haijaelezea umri wala haiba.

Ni absolute right
 
Haya unayoandika hapa baba yako angekuwa na access ya kuyasoma nina imani hata urithi wa kikombe Cha chai asingekupa. Wewe siyo binadamu wa kawaida. Nachokiona kingine km kweli ni baba yako basi umemchoka zaidi ya shetani. Wewe km ni ME husitahili kuwa na familia maan ipo siku mkeo akiugua utamkimbia, sababu km umeshindwa kuwa mvumilivu kwa aliyekuleta hapa duniani itakuaje kwa MKE, mtu wa ukoo mwingine.

Vipi ikitokea ukazaa kilema akawa anajisaiidia kitandani hanyanyuki utamtupa? Au vipi wewe leo ukipata ulemavu wa kudumu mfano kutoona macho au kukataa miguu hadi choon wakupeleke na wewe wakikuambia wamechoka utajiskiaje.

Kabla hujafa hujaumbika. Usimuombee baba yako afe, kuna watu wanatamani ndo wangekuwa na hata huyo mzee wewe usiye mtaka eti umechoka. Kwanza yeye angechoka kukulea leo ungekuwa hapo ulipo. Unapaswa kumshukuru Mungu kwa yote hasa kwa mtihani aliokupa. Hujiulizi kwa nini huo mtihani hakupewa Devi lakini umepewa wewe. Huduma kwa mzazi haina kikomo, labda km na wewe ndo wale vijana wavaa kata K na kunyoa viduku. Au walioenda chuo kikuu wakapata maji taka badala ya elimu. Unahuzunisha sn, na baba yako akulaani na kizazi chako chote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…