Gharama za kupiga rangi gari ni kiasi gani na itachukua muda gani ?

Gharama za kupiga rangi gari ni kiasi gani na itachukua muda gani ?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Aina ya Gari ni Toyota Premio

Body uya gari ipo fresh kabisa

Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa.

Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
 
Inategemea ukiwa na milioni mbili gari inapigwa rangi ya kutokea iyo bodi inavuliwa kabisa inawekwa pembeni inapigwa rangi na polish ndo inarudishwa kwenye gari ikiwa mpya kabisa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Laki saba kwa fundi maiko. Gari itangaa kwa muda wa mwezi mzima halafu ndio utaanza ona mapichapicha Sasa.
 
Aina ya Gari ni Toyota Premio

Body uya gari ipo fresh kabisa

Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa.

Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
Siku tano maxmum
1. Kuiandaa kwa kufungua vitasa (kama ni rangi tofauti na body) Kutoa taa ili rangi ipenye mpaka ndani, kuisafisha, kufanya panel beating ndogondogo, kuisugua yote kwa kutumia msasa laini
2. Kuisafisha, kufunga magazeti kwenye tairi, vioo, na sehemu zisizohusika na rangi, kupiga rangi ya Msingi (under coat)
3. Kupiga mkono wa kwanza na wa pili. Kisha kupiga clear kama rangi ni metallic
4. Kupiga rangi zingine kama nyeusi na silver nk kunakohusika, kurudishia vitu vilivyofunguliwa
5. Kufanya finishing na usafi
NB: kazi hiyo inaweza pia kutumia siku 3 tuu
 
Hivi hapa bongo kuna wanaopiga blast wakati wa zoezi la kupiga rangi ?
 
Laki 8 inatosha, kama uko tayari nikuunge na fundi wangu kazi anaiweza haswaa!
 
Back
Top Bottom