watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Siku tano maxmumAina ya Gari ni Toyota Premio
Body uya gari ipo fresh kabisa
Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa.
Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
Laki 8 kwa Maiko. Rangi kali kama Azam hapo Mil 2+ ova imetoka Nagoya Japan.Laki 8 inatosha, kama uko tayari nikuunge na fundi wangu kazi anaiweza haswaa!