Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu,mpe polesio mimi
300k mkuugharama sizilipubgua boss mpaka 90 ?
180000.300k mkuu
Muhimbili.Sidhani kama imeshuka hadi 180k
Hiyo ni hospitali gani?
mkuu pole sana kwa unayopitiaHabar wakuu
Naomba kufahamu kusafishwa Figo ghrama zipoje kwa sasa hapa hospital ya taifa ?
Asante kwa taarifaMuhimbili.
Kila mtu atalala hata asieugua figo.Alazwe pema peponi kamandaaaa.......
[emoji16]Figo inasafishwa kwa kuacha kula na kunywa matakataka. BASIII
Mengine ni ujanja ujanja tu wa kuwatajirisha watu huku wakikuchimbia kaburi taratibu.
Makinika.
Cc DR Mambo Jambo
Hapo alipo si ajabu kumkuta ana rundo la vidonge kutoka hospitali.[emoji16]
Pole Sana mkuu.Baba ana mwezi wa 2 sasa tunahangaika na haya matibabu,