Waugwadu
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 484
- 854
Pole sana mkuu, Mungu awafanyie wepesi katika hilo.Baba ana mwezi wa 2 sasa tunahangaika na haya matibabu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu, Mungu awafanyie wepesi katika hilo.Baba ana mwezi wa 2 sasa tunahangaika na haya matibabu,
AminaPole sana mkuu, Mungu awafanyie wepesi katika hilo.
Asante brotherPole Sana mkuu.
Daaah! ugonjwa huo ni hatari sana,japo wote tutakufa lakini tujitahidi kuepuka vitu inavyosemekana vitasababisha tupate ugonjwa huo.Inasikitisha sana hasa gharama za uchujaji damu.Yaani gharama hizo,daaah! ukiugua kwanza unakufa kisaikolojia then unamalizika mwili.Nilikua nakumulia limao Konyangi yangu hapa nakutana na huu uzi daah
Mbaya zaidi uambatane na magonjwa mengine, mfano kisukari... Acha kabisaaDaaah! ugonjwa huo ni hatari sana,japo wote tutakufa lakini tujitahidi kuepuka vitu inavyosemekana vitasababisha tupate ugonjwa huo.Inasikitisha sana hasa gharama za uchujaji damu.Yaani gharama hizo,daaah! ukiugua kwanza unakufa kisaikolojia then unamalizika mwili.
Waache watu wakafanyiwe Dialysis...Figo inasafishwa kwa kuacha kula na kunywa matakataka. BASIII
Mengine ni ujanja ujanja tu wa kuwatajirisha watu huku wakikuchimbia kaburi taratibu.
Makinika.
Cc DR Mambo Jambo
Per visitHiyo 180 ni awamu moja ambayo ni siku 3 boss ?
Bichwa komwe ulivyokazia dah..Hapo alipo si ajabu kumkuta ana rundo la vidonge kutoka hospitali.
Anabugia madonge huku anataka "kupona figo".
Putting poison in the body and wonder why there is poison in the body 😹😹
Ni kama anafanya magazijuto. Anajumlisha na kutoa kwa mpigo. Hahahaaa.
Sukari, soda, vidonge, water flouride, bia, gongo, chloride, chlorine, mercury, acids in blood, toxins, junk food, junk meat, GMOs, isopropyl alcohol, hydroquinone, and what else God knows...... CHANJOO 😂😂🤣🤣🤣🙈
Cc DR Mambo Jambo
ngeli uko vizuri mzeeHapo alipo si ajabu kumkuta ana rundo la vidonge kutoka hospitali.
Anabugia madonge huku anataka "kupona figo".
Putting poison in the body and wonder why there is poison in the body 😹😹
Ni kama anafanya magazijuto. Anajumlisha na kutoa kwa mpigo. Hahahaaa.
Sukari, soda, vidonge, water flouride, bia, gongo, chloride, chlorine, mercury, acids in blood, toxins, junk food, junk meat, GMOs, isopropyl alcohol, hydroquinone, and what else God knows...... CHANJOO 😂😂🤣🤣🤣🙈
Cc DR Mambo Jambo
Maskini tutaisha!Laki tatu
Kikawaida mgonjwa anatakiwa asafishwe mara 3 kwa wiki
Hivyo 900k kila wiki
Poleni sana Bro,ni mtihani mkubwa Mungu awape wepesi.Baba ana mwezi wa 2 sasa tunahangaika na haya matibabu,
awamu moja shehe, mara tatu maana yake piga hiyo 180 mara tatu ndo unapata gharama kwa wikiNi awamu moja ambayo unasafishwa siku 3 ?
Hiyo gharama ni kwa siku moja, kwa siku 3 ni 540Ni awamu moja ambayo unasafishwa siku 3 ?