Gharama za kusafisha Figo zipoje kwa sasa hapa hospitali ya Taifa?

Tujitahidi kulinda figo zetu ndugu zangu, ukipata tatizo la figo hata uwe tajiri kiasi gani gharama za kusafisha figo lazima utafilisika kwa kuuza kila ulicho nacho na mwisho wa siku huwezi kusema kuwa utapona, unless upate mtu wa kukutolea Figo na hapo utaishi kwa masharti ili kuendana na Figo mpya uliyowekewa
 
Hiyo 180 ni awamu moja ambayo ni siku 3 boss ?
Hapana inategemea mgonjwa kapangiwa vipi, kuna wanaosafishwa Mara 1 Kwa week, wengine Mara 2 naa baadhi Mara 3. Kila awamu 180000.
 
Tujitahidi kulinda figo zetu ndugu zangu, ukipata tatizo la figo hata uwe tajiri kiasi gani gharama za kusafisha figo lazima utafilisika kwa kuuza kila ulicho nacho na mwisho wa siku huwezi kusema kuwa utapona, unless upate mtu wa kukutolea Figo na hapo utaishi kwa masharti ili kuendana na Figo mpya uliyowekewa
unalindaje figo mkuu?
 
Daaah! ugonjwa huo ni hatari sana,japo wote tutakufa lakini tujitahidi kuepuka vitu inavyosemekana vitasababisha tupate ugonjwa huo.Inasikitisha sana hasa gharama za uchujaji damu.Yaani gharama hizo,daaah! ukiugua kwanza unakufa kisaikolojia then unamalizika mwili.
Dialysis inafanyika iwapo figo zote Zina matatizo au? Mnijuze wataalam
 
Tujitahidi kulinda figo zetu ndugu zangu, ukipata tatizo la figo hata uwe tajiri kiasi gani gharama za kusafisha figo lazima utafilisika kwa kuuza kila ulicho nacho na mwisho wa siku huwezi kusema kuwa utapona, unless upate mtu wa kukutolea Figo na hapo utaishi kwa masharti ili kuendana na Figo mpya uliyowekewa
Je ikitolewa ikabaki Moja iliyo salama??
 
Back
Top Bottom