Gharama za kusafisha Figo zipoje kwa sasa hapa hospitali ya Taifa?

Hivi wakuu nasikia hii dialysis kwa Zanzibar ni bure, mwenye kujua tafadhali hizi habari ni kweli au namna gani?
Maana kuna mengi mtaani.
 
Nilikua nakumulia limao Konyangi yangu hapa nakutana na huu uzi daah
Daaah! ugonjwa huo ni hatari sana,japo wote tutakufa lakini tujitahidi kuepuka vitu inavyosemekana vitasababisha tupate ugonjwa huo.Inasikitisha sana hasa gharama za uchujaji damu.Yaani gharama hizo,daaah! ukiugua kwanza unakufa kisaikolojia then unamalizika mwili.
 
Mbaya zaidi uambatane na magonjwa mengine, mfano kisukari... Acha kabisaa
 
Figo inasafishwa kwa kuacha kula na kunywa matakataka. BASIII

Mengine ni ujanja ujanja tu wa kuwatajirisha watu huku wakikuchimbia kaburi taratibu.

Makinika.

Cc DR Mambo Jambo
Waache watu wakafanyiwe Dialysis...
Sasa kama kashapata Tatizo hapo hakuna tena maswala ya kula na kunywa Matunda au kuacha kula Junk foods
 
Bichwa komwe ulivyokazia dah..
 
ngeli uko vizuri mzee
cc Lamomy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…