Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Kwa mtu (raia wa Tanzania) ambaye anataka kwenda kutalii mbuga za wanyama kama Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha, Katavi, nk akiwa peke yake anapaswa kuandaa jumla Tsh ngapi for a 2-3 day trip
Naona wanasema kiingilio kina vary kuanzia Tsh 10,000/= hadi 35000/= lakini swali langu kuu ni gharama nyingine kama chakula, malazi, kuzunguka na magari ya watalii mchana kuangalia wanyama na night safari jumla inaweza kuwa Tsh ngapi?
Kuna yoyote mwenye experience na kwenda kwenye mbuga yoyote ya wanyama Tanzania? Au yoyote yule anayejua gharama?