min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sure bro ,ila ngoja nijiweke ili nikubalike kwenye jamii 😆😆😆Sio jf sema 90 ya watanzania 😊
Sure bro ,ila ngoja nijiweke ili nikubalike kwenye jamii 😆😆😆Sio jf sema 90 ya watanzania 😊
Mshangazi uliniahid utanipa tamu mwaka umeesha🥺🤣🤣🤣 aiseeh, Singasinga una nini lakini 😂
Tafuta laki 5 alafu unganisha cheni kama unataka kwenda kichoyo kama upo kwenye kisiwa hakikisha hukosi 2m lasihivyo utapotelea poriniKwa mtu (raia wa Tanzania) ambaye anataka kwenda kutalii mbuga za wanyama kama Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha, Katavi, nk akiwa peke yake anapaswa kuandaa jumla Tsh ngapi for a 2-3 day trip
Naona wanasema kiingilio kina vary kuanzia Tsh 10,000/= hadi 35000/= lakini swali langu kuu ni gharama nyingine kama chakula, malazi, kuzunguka na magari ya watalii mchana kuangalia wanyama na night safari jumla inaweza kuwa Tsh ngapi?
Kuna yoyote mwenye experience na kwenda kwenye mbuga yoyote ya wanyama Tanzania? Au yoyote yule anayejua gharama?
Kuhusu Ngorongoro ulichosema ni 100%. Pazuri tuliinjoy.Gharama inategemana na mbuga unayotaka kwenda,viingilio huwa ni vidogo kwa Mtanzania.Issue huwa ni kwenye malazi,chakula na usafiri.
1.Serengeti-hapa itategemeana unataka kuingilia wapi au unatokea wapi.klwa Serengeti unaweza tokea Arusha na wengine kule Mara/Mwanza.
Ngorongoro lile gari huwa wanakodi kwa 350K-500K,mnaweza kuwa watu 4 mkashare cost.
Malazi unaweza rudi kulala Arusha au ukkaamua ukalala Karatu,gharama za malazi zina range kuanzia 70K-100K kwa hotel ambazo ni medium standard.
Katavi huko hata watu wa ku share nao gharama ni kipengere,huko ukitaka kwenda jiandae kugharamia ushafiri mwenyewe.Raha ya Katavi kuna viboko wengi sana-unawaona live wanatoka wanaenda kula majani.
Ngorongoro raha yake ni lile bonde na ule ubaridi,hasa ukienda pale Serena Hotel ukapata chakula na kulala ni pazuri sana unaweza hisi haupo kabisa Tanzania-kitanda hapo ni kuanzia 450K.
Ukienda huko Ngorongoro,unaweza ukaenda pia Arusha National park-ni pazuri sana na kuna tembo wengi sana pamoja na twiga wa kutosha.
Fungal kazi ni Serengeti,sisi tulibahatika kukutana na simba kama 10 hivi wakiwa pamoja.