Namaanisha unaenda peke yako ila ukifika unakutana na watalii wengine ambao hamjuani hukohukoSasa huo utalii au uchawi
dereva gani atakubali kwenda na ngozi nyeusi porini peke ake๐๐
Yeah , mimi nilikua naenda serengeti ila Gharama zangu zilianza nakara marangu hotelGharama kubwa zilikuwa ni kwenye sehemu ya kulala sio? Au hela nyingi ilipotea wapi
Unaweka booking unapangiwa tarehe utafutiwe nafasNamaanisha unaenda peke yako ila ukifika unakutana na watalii wengine ambao hamjuani hukohuko
Yani sio family trip, au safari ya kwenda na marafiki. Nilimaanisha hivyo
Nikilewa mniacheKwetu tunaendaga kuokota kuni na kuwinda swala na digidigi
Bro usijitetee bhana.Namaanisha unaenda peke yako ila ukifika unakutana na watalii wengine ambao hamjuani hukohuko
Yani sio family trip, au safari ya kwenda na marafiki. Nilimaanisha hivyo
๐คฃ๐คฃ๐คฃ aiseeh, Singasinga una nini lakini ๐Sasa huo utalii au uchawi
dereva gani atakubali kwenda na ngozi nyeusi porini peke ake๐๐
Kweli eti sisi tunaingia mbuga za taifa jirani tunawinda na kuondoka kurudi nchini kwetu.
Kitu nimegundua jf wengi hatuna uhuru wa kipato gademit๐ ๐ ๐Kweli eti sisi tunaingia mbuga za taifa jirani tunawinda na kuondoka kurudi nchini kwetu.
Sio jf sema 90 ya watanzania ๐Kitu nimegundua jf wengi hatuna uhuru wa kipato gademit๐ ๐ ๐
Inategemea ni wapi na unataka kusafiri kwa level gani ya comfort.Kwa mtu (raia wa Tanzania) ambaye anataka kwenda kutalii mbuga za wanyama kama Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha, Katavi, nk akiwa peke yake anapaswa kuandaa jumla Tsh ngapi for a 2-3 day trip
Naona wanasema kiingilio kina vary kuanzia Tsh 10,000/= hadi 35000/= lakini swali langu kuu ni gharama nyingine kama chakula, malazi, kuzunguka na magari ya watalii mchana kuangalia wanyama na night safari jumla inaweza kuwa Tsh ngapi?
Kuna yoyote mwenye experience na kwenda kwenye mbuga yoyote ya wanyama Tanzania? Au yoyote yule anayejua gharama?