Gharama za kutalii peke yako for 3 days kwenye mbuga za taifa ni Tsh ngapi?

Kweli maisha ya kijijin sana sana karibu na mbuga ni raha sana. hivi kweli niamke ati naenea kulipia nione wanyama nefa. Mimi nkienda home asubuh simba, tembo, cjui nyumbu wanapita tu nikinawa uso tunaangaliana. Usiku fisi nanakuja kumendea mbuzi makele yao nshayazoea ni kipi kipya ntalipia hapo. Majuz tu valentine demu wangu aliingia msituni akarudi na swala tukamchinja akawa kitoweo. Xmas tuliingia msituni tukatoka na nyumbu tukala hadi mwaka mpya na hapo tunapishana na kila aina ya mnyama. Ushauri wangu tafuteni marafiki wa kijijin mtafaidika sana
 
Tafuta laki 5 alafu unganisha cheni kama unataka kwenda kichoyo kama upo kwenye kisiwa hakikisha hukosi 2m lasihivyo utapotelea porini
 
Kuhusu Ngorongoro ulichosema ni 100%. Pazuri tuliinjoy.

Serengeti naambiwa pamoto ila swala
La muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…