intellect_reality
Member
- Dec 14, 2020
- 11
- 15
Bado sijailipia hiyo 5M naitaj kujua GHARAMA kwanza ndio nilipieKwa hiyo Ushalipia bado?
M nipo zenji hpa tuwasiliane nikupe mchongo huoHabari wanamaendeleo, nimepata gari nzuri IST kwa Tsh 5M Kule zanzibar, na nimeipenda sana namba 130HL, nahitaji kuileta huku Tz bara, na sijui naanzia wapi
Nahitaji full details na GHARAMA zinaweza kuwa kiasi gani mpaka naingia barabarani.
Nitangulize shukran
Mkuu weka taratibu hapa kila mtu ajue, unataka muwasiliane wapi na hapa mnaweza wasiliana?M nipo zenji hpa tuwasiliane nikupe mchongo huo
bamdogo alishasafirisha yke akapeleka shinyanga
Naweka kambi pia maana na mimi ninashida kama yako mkuuHabari wanamaendeleo, nimepata gari nzuri IST kwa Tsh 5M Kule zanzibar, na nimeipenda sana namba 130HL, nahitaji kuileta huku Tz bara, na sijui naanzia wapi
Nahitaji full details na GHARAMA zinaweza kuwa kiasi gani mpaka naingia barabarani.
Nitangulize shukran
Jiandae kulipa ushuru tena kwa kuingiza TZ Mainland, nakushauri register kwa namba za Zanzibar, lakini utumie BongoHabari wanamaendeleo, nimepata gari nzuri IST kwa Tsh 5M Kule zanzibar, na nimeipenda sana namba 130HL, nahitaji kuileta huku Tz bara, na sijui naanzia wapi
Nahitaji full details na GHARAMA zinaweza kuwa kiasi gani mpaka naingia barabarani.
Nitangulize shukran
Mkuu mimi kuna mdogo wangu ndo anafnya izo ishu kwaio yy ndo anajua pirika zote ila hakuna utapeli wowote uleMkuu weka taratibu hapa kila mtu ajue,unataka muwasiliane wapi na hapa mnaweza wasiliana?
Watu ambao hamajawayi miliki virus vya moto mna maneno sana,,,Jamaa yangu alinunua gari zenji. Kuitoa bandarini tu ikaangukia mikononi mwa fundi sinza. Akiwa njiani kwenda Arusha, alipofika msata ikamlazimu kubadili cylinder head gasket, alipofika same rejeta ikaleta shida.
mnaonunua magari unguja, mna moyo