Gharama za kutoa gari Zanzibar 2022

Gharama za kutoa gari Zanzibar 2022

Alfu waauzaji wanajuwa wenywe na za kupeleka gar uko
 
Habari wanamaendeleo, nimepata gari nzuri IST kwa Tsh 5M Kule zanzibar, na nimeipenda sana namba 130HL, nahitaji kuileta huku Tz bara, na sijui naanzia wapi

Nahitaji full details na GHARAMA zinaweza kuwa kiasi gani mpaka naingia barabarani.

Nitangulize shukran
M nipo zenji hpa tuwasiliane nikupe mchongo huo
bamdogo alishasafirisha yke akapeleka shinyanga
 
M nipo zenji hpa tuwasiliane nikupe mchongo huo
bamdogo alishasafirisha yke akapeleka shinyanga
Mkuu weka taratibu hapa kila mtu ajue, unataka muwasiliane wapi na hapa mnaweza wasiliana?
 
Habari wanamaendeleo, nimepata gari nzuri IST kwa Tsh 5M Kule zanzibar, na nimeipenda sana namba 130HL, nahitaji kuileta huku Tz bara, na sijui naanzia wapi

Nahitaji full details na GHARAMA zinaweza kuwa kiasi gani mpaka naingia barabarani.

Nitangulize shukran
Naweka kambi pia maana na mimi ninashida kama yako mkuu
 
Jamaa yangu alinunua gari zenji. Kuitoa bandarini tu ikaangukia mikononi mwa fundi sinza. Akiwa njiani kwenda Arusha, alipofika msata ikamlazimu kubadili cylinder head gasket, alipofika same rejeta ikaleta shida.

mnaonunua magari unguja, mna moyo
 
Habari wanamaendeleo, nimepata gari nzuri IST kwa Tsh 5M Kule zanzibar, na nimeipenda sana namba 130HL, nahitaji kuileta huku Tz bara, na sijui naanzia wapi

Nahitaji full details na GHARAMA zinaweza kuwa kiasi gani mpaka naingia barabarani.

Nitangulize shukran
Jiandae kulipa ushuru tena kwa kuingiza TZ Mainland, nakushauri register kwa namba za Zanzibar, lakini utumie Bongo
 
Mkuu weka taratibu hapa kila mtu ajue,unataka muwasiliane wapi na hapa mnaweza wasiliana?
Mkuu mimi kuna mdogo wangu ndo anafnya izo ishu kwaio yy ndo anajua pirika zote ila hakuna utapeli wowote ule

uaminifu ni 100%
 
Hatua ya kwanza unatakiwa uwe na document zako za manunuzi ya hio gari hlf ndipo utachajiwa kulingana na bei na aina ya gari ulonunulia
 
Kwanza ikague kama inadaiwa Huko Zanzibar

Zanzibar MTU akinunua gari huwa anaruhusiwa kulipa taratibu Ile kodi, usipoangalia utanunua gari lenye Kodi na ni lazima uimalizie kama ukileta hiyo gari bongo kabla haujaanza kupigiwa Kodi yako.

Mengine watakuja wengine kushauri
 
Kwani unajua Zanzibar ilitumika kwa muda gani?
Huku kwetu tunajua japo sio kwa uhakika Sana gari lilipopata usajili kutokana na reg. Number.
 
Jamaa yangu alinunua gari zenji. Kuitoa bandarini tu ikaangukia mikononi mwa fundi sinza. Akiwa njiani kwenda Arusha, alipofika msata ikamlazimu kubadili cylinder head gasket, alipofika same rejeta ikaleta shida.

mnaonunua magari unguja, mna moyo
Watu ambao hamajawayi miliki virus vya moto mna maneno sana,,,
 
Mtu anaulizia utaratibu mnaleta story eti je? una document Sasa ntanunua bila ya docs .Mara jamaa alinunua gari likaharibka!!
Mpe utaratibu Kama unajua ndicho alichoomba
 
Back
Top Bottom