ntawi hussein
Member
- Apr 8, 2018
- 35
- 15
Tuwasubiri wajuziMeno ya mbele yameoza nimeshauriwa nisiyatoe niweke crown ,nahitaji kufahamu hospital nzuri au daktar mzuri kwa ajili ya huduma hyo, gharama zake pia zikoje kwa wenye uzoefu naomba muongozo si vby nikipata na side effect zake
Ukifika 40 hata hiyo kibogoyo hutakuwa nayoJamani meno yanatuliza wengi,tunakwenda kuwa vibogoyo under 30
Inauma sana Nina wasiwasi na vinywaji vya sukari tunavyokunywaUkifika 40 hata hiyo kibogoyo hutakuwa nayo
Mkuu siku hizi wanatumia technolojia mpya hawatumii m² wanatumia ft²sh 1,500 kwa square meter.
SijaelewaMkuu siku hizi wanatumia technolojia mpya hawatumii m² wanatumia ft²
Tena kwa 1000 tu unapata huduma safi
Hayo ya juu manne ya mbele yote fake.
Nakula miwa, nyama choma kuku navunja mifupa nakula nayo chakula sio nayatoa wakati wa msosi
Kuna watalaam pale Muhimbi ukiingia tu geti kubwa mkono wa kulia ila minl nilifanya fast track nililipa bei mbaya kidogo huu mwaka wa saba ninayo.
Tatizo awamu hio tunawadharau sana watalaam wetu sijui kwa nini. Mtakuwa vibogoyo kweli.
Meno yangu yalibanana hivyo yalipata ugonjwa unaohamia jino ningine. Ikabidi nitoe yote kwa mpigo sababu yalioza yote mpaka yakajaa usaa kwa juu madatktari wa meno wanaelewa.
Dr alitumia busara sana angeniambia anatoa na kufix yote nisingekubali . Baada ya story waligundua naweza kulipa wakatoa halafi wakanionuesha yale meno yenye usaa. Niliwashukuru sana. Sababu meno yalisababisja macho nafinya pua kuuma na kitu kama sinus na kichwa kuuma vilevile ilikuwa shida.
Huwa nafanyia usafi wa kuyatoa na kupiga brash then nafix mahali pake hamna shida huwezi jua. Hata mabinti walikuwa hawajui enzi hizo .
View attachment 1185633
Nimesahau kusema kweli muda mrefu nisikupe taarifa isiyo sahihi sababu ile model ya kinywa waliotengeneza pale Amana sikuipenda nikaenda hapo muhimbili wakarekebisha.Asee kongole boss,,,gharam kama sh ngapi mkuu?
I
Inauma sana Nina wasiwasi na vinywaji vya sukari tunavyokunywa
OK naona watu wanaongelea hela ndefu.Asee kongole boss,,,gharam kama sh ngapi mkuu?
sh 1,500 kwa square meter.
Gharama hizo najua kwa wanaoweka waya ili kupanga meno bt kwa kuvisha jino crown sidhan kama inafika pesa yote hyoNilimpeleka mtoto gharama yake sio ya mchezo 2,000,000 to 2,500,000 wataalam 4 tofauti