Gharama za kuweka meno crown

Gharama za kuweka meno crown

ntawi hussein

Member
Joined
Apr 8, 2018
Posts
35
Reaction score
15
Meno ya mbele yameoza nimeshauriwa nisiyatoe niweke crown ,nahitaji kufahamu hospital nzuri au daktar mzuri kwa ajili ya huduma hyo, gharama zake pia zikoje kwa wenye uzoefu naomba muongozo si vby nikipata na side effect zake
 
Tuwasubiri wajuzi
 
Hayo ya juu manne ya mbele yote fake.
Nakula miwa, nyama choma kuku navunja mifupa nakula nayo chakula sio nayatoa wakati wa msosi

Kuna watalaam pale Muhimbi ukiingia tu geti kubwa mkono wa kulia ila minl nilifanya fast track nililipa bei mbaya kidogo huu mwaka wa saba ninayo.

Tatizo awamu hio tunawadharau sana watalaam wetu sijui kwa nini. Mtakuwa vibogoyo kweli.

Meno yangu yalibanana hivyo yalipata ugonjwa unaohamia jino ningine. Ikabidi nitoe yote kwa mpigo sababu yalioza yote mpaka yakajaa usaa kwa juu madatktari wa meno wanaelewa.

Dr alitumia busara sana angeniambia anatoa na kufix yote nisingekubali . Baada ya story waligundua naweza kulipa wakatoa halafi wakanionuesha yale meno yenye usaa. Niliwashukuru sana. Sababu meno yalisababisja macho nafinya pua kuuma na kitu kama sinus na kichwa kuuma vilevile ilikuwa shida.

Huwa nafanyia usafi wa kuyatoa na kupiga brash then nafix mahali pake hamna shida huwezi jua. Hata mabinti walikuwa hawajui enzi hizo .
meno.jpeg
 
Asee kongole boss,,,gharam kama sh ngapi mkuu?

View attachment 1185633
 
Nimesahau kusema kweli muda mrefu nisikupe taarifa isiyo sahihi sababu ile model ya kinywa waliotengeneza pale Amana sikuipenda nikaenda hapo muhimbili wakarekebisha.

FAST TRACK ni bei ila kuna watalaam. Unaweza kwenda kucheki tu nakupata ushauri kwanza.

Na sio lazim uende fast track wana utaratibu mzuri tu.
 
Nilimpeleka mtoto gharama yake sio ya mchezo 2,000,000 to 2,500,000 wataalam 4 tofauti
 
Hayo ya juu manne ya mbele yote fake.
Nakula miwa, nyama choma kuku navunja mifupa nakula nayo chakula sio nayatoa wakati wa msosi

Kuna watalaam pale Muhimbi ukiingia tu geti kubwa mkono wa kulia ila minl nilifanya fast track nililipa bei mbaya kidogo huu mwaka wa saba ninayo.

Tatizo awamu hio tunawadharau sana watalaam wetu sijui kwa nini. Mtakuwa vibogoyo kweli.

Meno yangu yalibanana hivyo yalipata ugonjwa unaohamia jino ningine. Ikabidi nitoe yote kwa mpigo sababu yalioza yote mpaka yakajaa usaa kwa juu madatktari wa meno wanaelewa.

Dr alitumia busara sana angeniambia anatoa na kufix yote nisingekubali . Baada ya story waligundua naweza kulipa wakatoa halafi wakanionuesha yale meno yenye usaa. Niliwashukuru sana. Sababu meno yalisababisja macho nafinya pua kuuma na kitu kama sinus na kichwa kuuma vilevile ilikuwa shida.

Huwa nafanyia usafi wa kuyatoa na kupiga brash then nafix mahali pake hamna shida huwezi jua. Hata mabinti walikuwa hawajui enzi hizo .
View attachment 1185633

Mkuuu hongeraa
Naona mvi
 
Back
Top Bottom