Hayo ya juu manne ya mbele yote fake.
Nakula miwa, nyama choma kuku navunja mifupa nakula nayo chakula sio nayatoa wakati wa msosi
Kuna watalaam pale Muhimbi ukiingia tu geti kubwa mkono wa kulia ila minl nilifanya fast track nililipa bei mbaya kidogo huu mwaka wa saba ninayo.
Tatizo awamu hio tunawadharau sana watalaam wetu sijui kwa nini. Mtakuwa vibogoyo kweli.
Meno yangu yalibanana hivyo yalipata ugonjwa unaohamia jino ningine. Ikabidi nitoe yote kwa mpigo sababu yalioza yote mpaka yakajaa usaa kwa juu madatktari wa meno wanaelewa.
Dr alitumia busara sana angeniambia anatoa na kufix yote nisingekubali . Baada ya story waligundua naweza kulipa wakatoa halafi wakanionuesha yale meno yenye usaa. Niliwashukuru sana. Sababu meno yalisababisja macho nafinya pua kuuma na kitu kama sinus na kichwa kuuma vilevile ilikuwa shida.
Huwa nafanyia usafi wa kuyatoa na kupiga brash then nafix mahali pake hamna shida huwezi jua. Hata mabinti walikuwa hawajui enzi hizo .
View attachment 1185633